Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Sasa ndugu kaka braza kiongozi mlokole, huyo mwanamke mpuuzi laana kabisa mshenzi hayo yote aliyokufanyia na bado anaendelea kukufanyia hadi na familia yake nzima bado unaleta ujinga na huruma za kifalafala eti unaomba suluhisho mrudiane kweli?? Una akili timamu braza?? Ama umerogwa??

Embu kurupuka wacha ulokole na huruma za kijinga kwa watu wasiohitaji huruma yako.

Yeye si kalianzisha?? Sasa na wewe maliza show kibabe zaidi maana mnapoelekea atakuharibia maisha na kila kitu.

Wacha msela hapo afanye kazi yani ubaya ubwela huku mnagusa mnaachia mnapeleka moto kwa huyo jizi tapeli limwanamke lakumaliza kabisa hilo shenzi zake.

Hallelujah!!!
 
Kumbe kakuzidi umri, ndo maana anaumia kupigwa na mdogo ake....na kama kakuzidi na kipato ndo bhaaaasss.

Ushauri, we endelea kutulia, wakati utakujibia.....mwenda tezi na omo marejeo ngamani....atarudi.
Wife wako aliruka stage, hakudanga, hajawahi kudanganywa.....kafika chuo mmeanza kuzaa.....sasa kamaliza uzazi anajiona kavunja ungo upya....

So atarudi, hakuna wa kumlelea watoto wanne kwa mapenzi, kama wewe ndo una haki atarudi, Novemba sio mbali, mpe miezi 6 tu yatachuja huko anakopewa bichwa.

Ila akirudi msisahau kupima damu.
Usemayo ni kweli, mama mmoja, mze wa baraza alimtamkia maneno kama haya, kuwa ameruka stage, anataman kurud huko
 
Sio kwamba sitaki kumuacha, nilikua nafikiri ni hasira tu hapo mwanzo ndio maana nikawa natafuta suluhu. Ila sio kwamba ninamganda, ndio maana alipoondoka sikujisumbua kumtafuta, na alipoona nimekaa kimya ndioa akaanza kunipeleka kwenye vyombo vya sheria.
Chaajabu ni kwamba anataka taraka lakini hajapeleka shauri la talaka mahakaman mpaka sasa
Wewe tayari umeshalogwa. Kama babako anatukanwa na unaona sawa basi wewe umeshamalizwa. Huyo manzi atakufanyia kitu mbaya zaidi. Kwa familia yangu baba angemalizana na huyo mwanamke mapema sana kwa njia za kiutamaduni mara baada ya kutukanwa.
 
Mkuu mwanamke akishaishiwa hisia kwako ni zaidi ya mnyama.

Na bila shaka anakazwa nje, hilo halina ubishi.

Hapo wewe vaa uso wa mbuzi, mpe separation anayoidai huku ukitabasamu, ili uwe huru uendelee kutafuta maisha.

Unavyozidi kuonyesha bado unamuhitaji unampa nguvu kubwa sana. Na ataitumia kukumaliza - wewe mwanaume huna any legal right / resolve kwenye ndoa, na ndio maana anatumia mkono wa sheria - polisi e.t.c kukumaliza.

Na wewe kukubali kuwa umemdhuru mwili ndio umejaa kwenye mfumo. Ungekana kwamba hujamgusa yasingefika huko. Ungesema kwamba kapigwa huko alikokuwa anachepuka.

NEVER ADMIT GUILT.

Solution: uliza swali moja, anataka nini kifanyike ili muende your separate ways? Then mpe anachokitaka legally ili na wewe upate share yako kidogo.

Usiulize kuhusu watoto wala nini. Wanakufahamu, watakutafuta.

Once her hold on you is gone hiyo ya kukufanya kila siku chache uende polisi, fanya maisha.
Uzi ufungwe
 
Sasa ndugu kaka braza kiongozi mlokole, huyo mwanamke mpuuzi laana kabisa mshenzi hayo yote aliyokufanyia na bado anaendelea kukufanyia hadi na familia yake nzima bado unaleta ujinga na huruma za kifalafala eti unaomba suluhisho mrudiane kweli?? Una akili timamu braza?? Ama umerogwa??

Embu kurupuka wacha ulokole na huruma za kijinga kwa watu wasiohitaji huruma yako.

Yeye si kalianzisha?? Sasa na wewe maliza show kibabe zaidi maana mnapoelekea atakuharibia maisha na kila kitu.

Wacha msela hapo afanye kazi yani ubaya ubwela huku mnagusa mnaachia mnapeleka moto kwa huyo jizi tapeli limwanamke lakumaliza kabisa hilo shenzi zake.

Hallelujah!!!
Hakuna namna, japo nimeshaamua kuachana nae tu for good, aende anapotaka
 
Mkuu mwanamke akishaishiwa hisia kwako ni zaidi ya mnyama.

Na bila shaka anakazwa nje, hilo halina ubishi.

Hapo wewe vaa uso wa mbuzi, mpe separation anayoidai huku ukitabasamu, ili uwe huru uendelee kutafuta maisha.

Unavyozidi kuonyesha bado unamuhitaji unampa nguvu kubwa sana. Na ataitumia kukumaliza - wewe mwanaume huna any legal right / resolve kwenye ndoa, na ndio maana anatumia mkono wa sheria - polisi e.t.c kukumaliza.

Na wewe kukubali kuwa umemdhuru mwili ndio umejaa kwenye mfumo. Ungekana kwamba hujamgusa yasingefika huko. Ungesema kwamba kapigwa huko alikokuwa anachepuka.

NEVER ADMIT GUILT.

Solution: uliza swali moja, anataka nini kifanyike ili muende your separate ways? Then mpe anachokitaka legally ili na wewe upate share yako kidogo.

Usiulize kuhusu watoto wala nini. Wanakufahamu, watakutafuta.

Once her hold on you is gone hiyo ya kukufanya kila siku chache uende polisi, fanya maisha.
Ushauri makini sana aufuate, watoto isiwe sababu ya yeye kuendelea kupalilia jambo ambalo linahatarisha maisha yake.
 
Binafsi nakupa pole ndugu yangu uchungu ulionao naona ni mkubwa sana kuliko haya maandishi uliyoyaandika!!!..

Mi sikaagi na demu muda mrefu sana! Lakn Kuna demu nimekaa nae almost six months mpaka nikaamua " anyway ngoja nitulie na mmoja maisha yaende"

Mwisho wa mwaka huu alipoenda kwao kusalimia alianza kuchange vibaya mnooo! Yaani Maumivu nayoyahis ni makali sana

Sasa mim just six months tuu napata such pain kwako wew nahisi ni zaidi sana

Ukiweza rjesha yule mchepuko wako wa kitambo akupe faraja kwasasa...
"kuhusu visa vyake ningeshauri utafute sehemu ya Mbali ukakae, badilisha namba ya simu ishi as if u don't exist"

Kazini Kama unaweza omba uhamishe ukakae Mbali nae! Usipofanya hivyo atakodi hata watu wakudhuru
Nilisha hama, mwezi huu kwenda ku chill mwanza nihamishe harakat huko, alipo jua hilo ndio moto wa police ukaanza, nahisi hataki na mimi ni move on
 
Back
Top Bottom