Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ni kweli mkuu. Nitalizingatia hili.Fanton Mahal naomba sana uzingatie ushauri huu. Utakusaidia. Na wengi tulishapitia huko.
Ogopa sana mwanamke akishaamua kukufanyia ubaya. Na ukizubaa anaweza hata kukuua huyo. Usimpe hiyo nafasi ya kukuua 📌📌📌
Sounds like trueMsioe wanawake wenye degree au diploma
Msioe wanawake watumishi wa serikali
Msioe wanawake wenye permanent job.
Pole
Nna experience na hao watu aisee ila basi ngoja nisitie neno Bwana ametoa Bwana ametwaa twambombo mpaka ahakikishe umelamba mchanga abakie na watoto tembelea kwa wajane kule ukapate darasaHajagegedua huko inje saa hz
Potezea.....mkeo anajiona mtoto.....halafu habari ya wewe kutaka kuhamia Mwanza aliijuaje? Ukute ulimuandikia msg ndefu kumuaga 🤣🤣🤣🤣Imagine first born yuko form 2, halaf mtu analeta usenge namna hii
Sio mdhaifu kihivyo mkuu.Hapa wote mnapoteza muda kushauri
Huyu jamaa alivyo mlaini nina uhakika asilimia mia moja huyo mwanamke akirudi muda wowote jamaa atamueka ndani vizuri
Na ndio kitakua kifo chake amekisogeza karibu.
Tutaolewa na nani sasa jamani?Msioe wanawake wenye degree au diploma
Msioe wanawake watumishi wa serikali
Msioe wanawake wenye permanent job.
Pole
Hapana hakujua, ila tu alijua sipo around na kwakua shughuli zangu huwa nasafiri sana, hakujua niko wap ila akajua niko mkoaPotezea.....mkeo anajiona mtoto.....halafu habari ya wewe kutaka kuhamia Mwanza aliijuaje? Ukute ulimuandikia msg ndefu kumuaga 🤣🤣🤣🤣
Nmekuhurumia mkuu nakuona nakuona kabisa anavyokuteketeza huyo mwanamkeSounds like true
Nyie sio wa kuoa ni wa kuwapa mimba na kukimbiaTutaolewa na nani sasa jamani?
Na waliowatoa bikra kamtafute yule msela aliekutatua sealed yako hapo chini mwambie akuoeTutaolewa na nani sasa jamani?
HatafanikiwaNmekuhurumia mkuu nakuona nakuona kabisa anavyokuteketeza huyo mwanamke
Mtoto wako je 😅Nyie sio wa kuoa ni wa kuwapa mimba na kukimbia
Mtoto nitatuma pesa akitimiza miaka 3 tu nakuja kumuibaMtoto wako je 😅
We unanitia hasira tu, kwanza hamshaurikagi nyie.....nina ndugu yangu yupo kama wewe, huwa natamani nimtie vibao.Hapana hakujua, ila tu alijua sipo around na kwakua shughuli zangu huwa nasafiri sana, hakujua niko wap ila akajua niko mkoa
Mkuu ushauri wangu ni very expensive huwezi kuupata popote pale ila wewe nimekupa bure bila kuchangia hata 100 I'm talking about experience with nyakyusa women'sHatafanikiwa
Ahahahah..hapana bwanaWe unanitia hasira tu, kwanza hamshaurikagi nyie.....nina ndugu yangu yupo kama wewe, huwa natamani nimtie vibao.
Hadi anakulaza lock up means anakumudu na hata hao polisi walikuona mzembe, mwanaume mwenye msimamo ungefika polisi wenyewe wangeanza kuhoji kabla ya kuchukua maamuzi aliyoyasema mke wako,Sio mdhaifu kihivyo mkuu.
Japo na admit kuwa hili suala nililikosea baada ya kuanza kuwa involve wazazi, ujue wazaz wao huwa wako katika kutafuta suluhu zaidi, hili ndio nimelokosea mapema kabisaa.