Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Hapa wote mnapoteza muda kushauri
Huyu jamaa alivyo mlaini nina uhakika asilimia mia moja huyo mwanamke akirudi muda wowote jamaa atamueka ndani vizuri
Na ndio kitakua kifo chake amekisogeza karibu.
 
Fanton Mahal naomba sana uzingatie ushauri huu. Utakusaidia. Na wengi tulishapitia huko.

Ogopa sana mwanamke akishaamua kukufanyia ubaya. Na ukizubaa anaweza hata kukuua huyo. Usimpe hiyo nafasi ya kukuua 📌📌📌
Ni kweli mkuu. Nitalizingatia hili.
Ujue ,nilishataka kufanya maamuzi haya magum ila baba na mama hawataki, wao hofu yao eti nitapoteza nyuma, sasa nawaambia kwan nyumba ni kitu gani???? Hapo ndio nakosana nao ila isingekua wao, hii biashara ningekua nimeimaliza zamaani sana
 
Hapa wote mnapoteza muda kushauri
Huyu jamaa alivyo mlaini nina uhakika asilimia mia moja huyo mwanamke akirudi muda wowote jamaa atamueka ndani vizuri
Na ndio kitakua kifo chake amekisogeza karibu.
Sio mdhaifu kihivyo mkuu.
Japo na admit kuwa hili suala nililikosea baada ya kuanza kuwa involve wazazi, ujue wazaz wao huwa wako katika kutafuta suluhu zaidi, hili ndio nimelokosea mapema kabisaa.
 
Potezea.....mkeo anajiona mtoto.....halafu habari ya wewe kutaka kuhamia Mwanza aliijuaje? Ukute ulimuandikia msg ndefu kumuaga 🤣🤣🤣🤣
Hapana hakujua, ila tu alijua sipo around na kwakua shughuli zangu huwa nasafiri sana, hakujua niko wap ila akajua niko mkoa
 
24DF17E9-C0AF-457D-9163-363F8389CB40.jpeg
 
Sio mdhaifu kihivyo mkuu.
Japo na admit kuwa hili suala nililikosea baada ya kuanza kuwa involve wazazi, ujue wazaz wao huwa wako katika kutafuta suluhu zaidi, hili ndio nimelokosea mapema kabisaa.
Hadi anakulaza lock up means anakumudu na hata hao polisi walikuona mzembe, mwanaume mwenye msimamo ungefika polisi wenyewe wangeanza kuhoji kabla ya kuchukua maamuzi aliyoyasema mke wako,

Huyu anakuchezea tokea zamani ila huoni sababu ya mapenzi
 
Back
Top Bottom