Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.
Kweli wanaume tumeumbwa mateso.
Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaid wengine.
Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.
Mungu awabariki sana Wanaume
Sawa baliSio wote usikariri
Kumbe na Utafiti upo wazi.Men have a shorter life expectancy than women, thanks to their genes, says Harvard study
57% of all those ages 65 and older are female, claims the study.m.economictimes.com
Na Mke wa MkapaMaria Nyerere
Siti & Hadija Mwinyi
Janeth Magufuli
Mama Lowasa
Mke Kingunge Ngomable Mwiru
Kuna Waziri Msabaha pia juzi juzi.Maria Nyerere
Siti & Hadija Mwinyi
Janeth Magufuli
Mama Lowasa
Mke Kingunge Ngomable Mwiru
Daaah.....unaweza kudhani mnatutoa roho nyinyiNdo ivoπ
Jifunze na hiiSina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.
Kweli wanaume tumeumbwa mateso.
Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaid wengine.
Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.
Mungu awabariki sana Wanaume
Mama kingunge ashafarikiMaria Nyerere
Siti & Hadija Mwinyi
Janeth Magufuli
Mama Lowasa
Mke Kingunge Ngomable Mwiru
Kuna ukweli..
Khaa nianze kulia lia hadi ofsini kama mnavyofanyaga?Wanaume mnakufa haraka sababu ya kuweka mambo mengi moyoni
Hebu anzeni kuzungumza yanayowasibu muone mtakavyoishi...wewe hata mke wako akikupiga sema
Lakini alibaki kwanza ππMama kingunge ashafariki
Sababu tunazibeba sumu zenuWanaume mnakufa haraka sababu ya kuweka mambo mengi moyoni
Hebu anzeni kuzungumza yanayowasibu muone mtakavyoishi...wewe hata mke wako akikupiga sema
Huhuu mama sitt na hadija wamebakiLakini alibaki kwanza ππ
Wanaume mnakufa haraka sababu ya kuweka mambo mengi moyoni
Hebu anzeni kuzungumza yanayowasibu muone mtakavyoishi...wewe hata mke wako akikupiga sema
Nan atatetea wanaume ?Dunia ishampa majukumu mwanaume.Wanaume mnakufa haraka sababu ya kuweka mambo mengi moyoni
Hebu anzeni kuzungumza yanayowasibu muone mtakavyoishi...wewe hata mke wako akikupiga sema