Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

Kuna ka ukweli ndani yake! Ila nahs sio sana ni jinsi manvyo ishi tu. Hata kama mnalingana kama mwanamke kakupanda kichwan jiandae na early grave.
 
Wanaume wanakufa kabla ya wake zao kigezo kikuu ni utofauti wa umri wao kati ya me na ke
 
Duuh kwahiyo hata ukifa na miaka 80 bado inakuuma kwamba unawaacha mkeo na watoto kwamba ulitaka wakutangulie wao au, yani badala ya kujiangalia wewe umeishi umri mrefu kiasi gani unaumia kwamba kuna wengine unawaacha hata kama utakufa kikongwe, sasa unawatafutia za nini hizo mali kama unataka ukifa wasizifaidi we acha kuwatafutia ili usije kufa na kinyongo bure
 
Kuna ka ukweli ndani yake! Ila nahs sio sana ni jinsi manvyo ishi tu. Hata kama mnalingana kama mwanamke kakupanda kichwan jiandae na early grave.
ukiwa mtu asiejali na kufuatilia wanawake na kutoweka mambo rohon huwez kufa kabla ya umli wako mfano mwinyi kafa na miaka 90+ vp mkewe ana mingapi?
 
ukiwa mtu asiejali na kufuatilia wanawake na kutoweka mambo rohon huwez kufa kabla ya umli wako mfano mwinyi kafa na miaka 90+ vp mkewe ana mingapi?
Huu ndo ufunguo sio kulialia ama kutoa ya rohon. Ni namna unavyo weza kuhandle situation na kuchukulia easy!
 
Mkuu, tupunguze kupanda panda eti
 
Wanaume mnakufa haraka sababu ya kuweka mambo mengi moyoni

Hebu anzeni kuzungumza yanayowasibu muone mtakavyoishi...wewe hata mke wako akikupiga sema
Mama nenda youtube kasikilize nyimbo ya Dax-To be a Man, Remix.
It's more than kuweka vitu moyoni, yan it's deeper than ivyo unavyofikir. Unapigwa ukaseme kuna mawili usiaminike au udharaulike jamii ishajijenga kumsikiliza mwanamke lkn si mwanaume na hata kama jamii yako itakusikiliza lkn hakuna vichwa vitakaokuelewa pale kbsa cha kusikitisha hata wanaume wenzako wanaweza wasielew kbsa wataishia tu kusema kuna mkono wa mtu au may be kalogwa aisee wanaume hatujaumbiwa kujieleza sna maana huwa hatusikilizwi na hata tukisikilizwa hatueleweki. Kuna famili inakusubiri kuna wazazi na ndugu jmani acha tupate pumziko la milele. Kutfuta kwa jasho si mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…