Mshuhudie Mwanamke wa shoka, baada ya kuhitimu Chuo Kikuu, alikosa Ajira, akajiongeza kwa kusoma VETA

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi,

Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,

Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi waliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA, kwasababu hawa wana kitu cha ziada!, wanafanya ufundi kisomi zaidi, na wamefanikiwa zaidi kuliko VETA plain!.

Hii maana yake, umuhimu wa wananchi wengi kusoma kiwango cha chuo kikuu bado ni muhimu, na ikitokea umehitimu elimu ya chuo kikuu, ukakosa kazi, na kwa elimu uliosomea, ukajikuta huwezi kujiajiri, then nenda VETA!.

Paskali
 
Kwenda VETA siyo shida, swali ni VETA inatoa elimu bora kuliko Chuo kikuu? Kama ndiyo watunga sera wanasubiri nini kufuta vyuo vikuu au waboreshe mitaalama? Yaani tuache wafanye design Power plant? Au hydropower plant?
 
Waziri anatakiwa aitwe kwenye kamati ya maadili ya bunge ahojiwe kama walivyofanya kwa Pascal Mayalla .

Hivi walimu wanaofundisha VETA ni wahitimu kutoka vyuo gani?
 
Wanabodi,
Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,
Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA,ia kwasababu hawa wana kitu cha ziada!.
Paskali

Unamaliza degree first class, halafu unaenda veta kusoma na std 7 fail. Mnakua darasa moja tena ile English broken, kwanini hii mitaala ya degree isiwe more pratical kuliko theory? Kwa mfano mtu anamaliza Multimedia udom degree level 7 halafu aje kusoma veta multimedia level 4?. Kwani hio ya udom isiwe more pratical? Au mnataka tudhalilishane?
 
Wanabodi,
Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,
Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA,ia kwasababu hawa wana kitu cha ziada!.
Paskali

Si-hasa
 
Mimi namfahamu fundi mzuri wa Computer Kariakoo kwa upande wa Hardware na Software ambaye alisoma TIA Uhasibu, alipokosa ajira akaenda VETA ya Pascal yule fundi wa MAC na sasa ni fundi hatari
 
Wanabodi,
Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,
Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA,ia kwasababu hawa wana kitu cha ziada!.
Paskali

Kaka Paskali,
Mimi wa Ifunda Tech ilee ya wakati ule, Tanga Tech ilee, Mtwara Techa ilee, Moshi Tech ya wakati ulee na Mazengo ya kipindi hicho, baada ya hapo nikaenda Mbeya tech, Arusha Tech au Dar tech ya wakati uleee, halafu nikamalizia na FoE ya UDSM, leo uje uniambie niende VETA..!!! YOU GUYS, YOU ARE NOT SERIOUS..!!
 
Wanabodi,
Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,
Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA,ia kwasababu hawa wana kitu cha ziada!.
Paskali

Mimi nataka ufundi wa pikipiki,bajaji and baiskeli,magari nawaachia wengine,huku nijue mpaka wiring,means umeme wa hivyo vifaa,Kwa idadi yake mchina alivyotupia TZ hela ipo nje nje kabisa
 
Kwenda VETA siyo shida, swali ni VETA inatoa elimu bora kuliko Chuo kikuu? Kama ndiyo watunga sera wanasubiri nini kufuta vyuo vikuu au waboreshe mitaalama? Yaani tuache wafanye design Power plant? Au hydropower plant?
Akina "Pascal Mayalla" wanaona yule aliyevuta cable wakati wa installation pale Mwalimu Nyerere Hydro Power plant, ana akili sana kuliko aliye-design hiyo plant
 
Hapana,ninachoelewa mimi kuna basics kabisa kwenye mazingira yetu hatufanyi mpk Kwa fundi,kubadili oil,mtandao haupatikani kwenye simu,socket unatakiwa kubadili,kuna short ya umeme nini ufanye,vitu km hivi ndio unatakiwa kujua,ukizoea hivi utajikuta haya mengine yanakuja yenyewe
 
Mngekuwa specific wakati mnatetea hicho mnachokitetea. Hebu mfikirie aliyesoma Ifunda Tech (au tech school yoyote kati ya zile tano), then akaenda Mbeya Tech (au Arusha au Dar tech ya wakati ule), then akaingia Faculty of Engineering (UDSM), halafu unamtaka aende VETA. Kuweni serious basiii..!!
 
Back
Top Bottom