Mshuhudie Mwanamke wa shoka, baada ya kuhitimu Chuo Kikuu, alikosa Ajira, akajiongeza kwa kusoma VETA

Wanasiasa wanataka kuaminisha jamii Elimu haina maana kwa wao kushindwa kuset mifumo iliyosawa kubeba hawa wasomi ili kuwe na tija kila mahala.

Hizi ndege zinazoruka angani, meli zinazoelea baharini, submarines huko baharini, rockets zinazokwenda angani, mining machines, mining projects, rigs huko baharini za mafuta na gas, silaha, power plants nk hivi unafikiri bila watu kwenda shule kungekuwa na hizi innovations?, hizi bullet trains na miundombinu yakustaajabisha, utengenezaji wa chemicals mbalimbali, manufacturing industries nk.

Huu ujinga ujinga wa wanasiasa kushindwa kufikiri na kuleta solutions za matatizo mezani ndio unatufanyika hata vibarabara vidogo vijengwe na wachina Kwa high cost.
Ngoja waje hawa wajuaji uchwara watuambie kama huko veta kuna Skills au courses za kudesign ,kuimplement au kufanya maintenance ya hizo projects na mitambo hiyo hapo juu
 
Jokes aside, trade schools zina tija zaidi kwenye jamii kuliko vyuo vikuu. Mtu anaenda kusomea sociology, anthropology, history na degree programs zinginine kama hizo hazina tija kuliko trade programs kwenye jamii.
Hizi akili hawazitaki wao wanataka wanachotaka wao tu kwamba vijana wasiowapa ajira basi waende wakajazane Veta kule na wakitoka huko Veta mitaji hawawapi wakaitafute wenyewe mitaji sasa Veta mtu alienda kufanya nini? Ukiondoa hilo wapo waliomaliza huko Veta nao wapo tu mtaani wanaendelea kula msoto hizo mboyoyo za watu wawili watatu kwamba huyu alisomea Veta anafanya hiki na hiki hata mimi naweza kuleta aliesoma Degree amefungua kampuni yake, mchawi mtaji mitaji wanatoa wapi?
 
Wanabodi,
Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,
Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi waliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA, kwasababu hawa wana kitu cha ziada!, wanafanya ufundi kisomi zaidi, na wamefanikiwa zaidi kuliko VETA plain!.

Paskali

Hata mimi nimepingana sana na watu wanaomsakama PM kwa kuwashauri wasomi wa degree kwenda VETA kujifunza fani mbalimbali, hivi mtu ukiwa na degree yako ya uchumi ambayo haikupi ajira au kujiajiri unapata hasara gani kujiongezea ujuzi kwa kusomea fani nyingine ambayo ukichanganya na hiyo degree yako utakuwa na upeo mpana wa kuweza kujiajiri. Degree ambayo haikusaidii kujipatia kipato haina tofauti na cheti cha kumaliza sekondari tu.
 
Mtaji unautoa wapi? Hivi unaelewa watu wanachokipinga?
 
Wanabodi,
Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,
Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi waliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA, kwasababu hawa wana kitu cha ziada!, wanafanya ufundi kisomi zaidi, na wamefanikiwa zaidi kuliko VETA plain!.

Paskali

Mkuu mayalla nakuheshimu sana . Sitaki nikuvunjie heshima
 
Wanasiasa wanataka kuaminisha jamii Elimu haina maana kwa wao kushindwa kuset mifumo iliyosawa kubeba hawa wasomi ili kuwe na tija kila mahala.

Hizi ndege zinazoruka angani, meli zinazoelea baharini, submarines huko baharini, rockets zinazokwenda angani, mining machines, mining projects, rigs huko baharini za mafuta na gas, silaha, power plants nk hivi unafikiri bila watu kwenda shule kungekuwa na hizi innovations?, hizi bullet trains na miundombinu yakustaajabisha, utengenezaji wa chemicals mbalimbali, manufacturing industries nk.

Huu ujinga ujinga wa wanasiasa kushindwa kufikiri na kuleta solutions za matatizo mezani ndio unatufanyika hata vibarabara vidogo vijengwe na wachina Kwa high cost.
Hii point nimeifanyia lamination kabisa I wish yule aliemfufua Magu apite asome ulichoandika
 
Wanabodi,
Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,
Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi waliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA, kwasababu hawa wana kitu cha ziada!, wanafanya ufundi kisomi zaidi, na wamefanikiwa zaidi kuliko VETA plain!.

Paskali

This is what behavioral scientists call herd behavior (or simply, herding). It occurs when people do what others are doing instead of using their own information or making independent decisions. While herding in career choices can provide a sense of security and access to resources, it may also lead to unfulfilling careers, increased competition, and missed opportunities. To make informed decisions, individuals should balance the benefits of herding with self-reflection, exploring their unique interests, skills, and long-term goals. Diversifying career options and staying adaptable can help mitigate the risks associated with herd behavior.

If every unemployed university graduate chooses to detour to VETA for vocational training, it won’t take long before that career path gets clogged. Eventual competition will quickly render many VETA graduates jobless. Back to square one!
 
Shida ni tatizo la ajira kiujumla, tatizo hili lipo kuanzia kwa graduate wa degree mpaka hawa wa Veta, Serikali imeshindwa kusolve hii equation.
Majaliwa Stadium apite kusoma comment km hizi ili afungue akili sio kuishia kua na mawazo ya maziwa mgando, halafu next time wasifanye maamuzi bila kutushirikisha wanatukosea heshima huu ndio mwanzo wa kuzabana makofi mbele ya kadamnasi
 
Wanabodi,
Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,
Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi waliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA, kwasababu hawa wana kitu cha ziada!, wanafanya ufundi kisomi zaidi, na wamefanikiwa zaidi kuliko VETA plain!.

Paskali

Kwahiyo alienda mbele kisha akarudi nyuma? Kwamba elimu ya UD haikumsaidia?
 
This is what behavioral scientists call herd behavior (or simply herding). It occurs when people do what others are doing instead of using their own information or making independent decisions. While herding in career choices can provide a sense of security and access to resources, it may also lead to unfulfilling careers, increased competition, and missed opportunities. To make informed decisions, individuals should balance the benefits of herding with self-reflection, exploring their unique interests, skills, and long-term goals. Diversifying career options and staying adaptable can help mitigate the risks associated with herd behavior.

If every unemployed university graduate chooses to detour to VETA for vocational training, it won’t take long before that career path gets clogged. Eventual competition will quickly render many VETA graduates jobless. Back to square one!
Tatizo hawajui mlango wa kutokea wanachojua wao ni mlango wa kuingilia tu basi yaan wawaingize halafu hawajui wanawatoaje vichwa vimeganda tu wakajazane huko wawatoze mapesa kisha wakimaliza wakajazane tena mtaani, what is this? Viongozi km wameshindwa si watushirikishe tuwape mawazo kuliko kutuamulia tu wanavyotaka wao na maamuzi yao kwa kiasi kikubwa wanakosea hawaangalii future wao wanaangalia leo tu yaan present without future
 
Wanasiasa wanataka kuaminisha jamii Elimu haina maana kwa wao kushindwa kuset mifumo iliyosawa kubeba hawa wasomi ili kuwe na tija kila mahala.
Wao wanapeana posho za 600,000 kwa siku pale mjengoni, watoto wao hakuna anayesoma VETA, shule zao ni nje ya nchi!
Hizi ndege zinazoruka angani, meli zinazoelea baharini, submarines huko baharini, rockets zinazokwenda angani, mining machines, mining projects, rigs huko baharini za mafuta na gas, silaha, power plants nk hivi unafikiri bila watu kwenda shule kungekuwa na hizi innovations?, hizi bullet trains na miundombinu yakustaajabisha, utengenezaji wa chemicals mbalimbali, manufacturing industries nk.
Wanaaminisha Umma elimu ya Chuo kikuu haina maana, wakienda Muhimbili wanafanyiwa surgery na hao hao wanaodhani hawana elimu!
Huu ujinga ujinga wa wanasiasa kushindwa kufikiri na kuleta solutions za matatizo mezani ndio unatufanyika hata vibarabara vidogo vijengwe na wachina Kwa high cost.

Miaka 60 CCM haina maarifa ndio maana yule bwana hana solution, anakuja na short cut
 
Pascal my brother, wewe ni zaidi ya hili, yule bwana mkubwa aliteleza kuendelea kushabikia ni kutetea ujuha.

Tatizo liko kwenye mfumo wa elimu hautoa competent graduates, hatujui watu wasome nini katika kila level. (Hili ni tatizo la hao hao watawala sio shida ya graduate).

Hata hao graduate wa Veta wengi nao wanakosa competence yaani bado huwezi kufananisha na graduate wa vocation za Ulaya na America, wengi pia ni magumashi.

Shida ni tatizo la ajira kiujumla, tatizo hili lipo kuanzia kwa graduate wa degree mpaka hawa wa Veta, Serikali imeshindwa kusolve hii equation.

Graduate wa degree ya Kila aina ya fani anapaswa kuwa na uwezo kulingana na level yake aweze kucompete ndani na nje ya nchi.
Competence inaanzia chini ni kama zege kwenye column lazima iwe compacted Kila mahala, kuanzia msingi, sekondari mpaka chuo kikuu mfumo ukiwa sawa lazima huyu mhusika awe competent kukiwa na vacuum mahala katikati lazima mhusika awe kimeo tu.

Uwanja mtaani ni mdogo kiasi cha kushindwa kubeba graduates wa kuanzia degree, Engineers kuna mahala wanafiti kama nchi Ina shughuli nyingi za uzarishaji mali.
Kazi anayopaswa kufanya engineer hakuna mahala Veta anaweza kufanya.
Kongole
 
Back
Top Bottom