Enthusiastic
Senior Member
- Dec 21, 2023
- 109
- 256
Kwa hiyo hata ile Jewish revolt ya mwaka 70 AD iliyepekekea hekalu kubomolewa ni hadithi za warumi za kutengenezwa?Hizo ni hadithi tu zimetengenezwa na warumi kupitia masimulizi ya kigiriki ndio maana 72 % ya wayahudi hawajaziweka hizo simulizi za kirumi kwenye masimulizi yao .
😆😆😆Habari za mwanamalundi umeleta wewe au mimi?
Mimi nimekwambia hakuna uchawi.
How sure are you that those things don't exist? 🤔Mpaka sasa sijawaona atheists kwenye huu uzi ila ingekuwa ni kuhusu Mungu chap wangewahi kuuliza thibitisha kama Mungu yupo😀😀😀
Kama Mungu hayupo na kama mizimu haipo sijui ni nini kinacho wawasha washa kujadili vitu ambavyo havipo
Kukubali historia ya mwanamalundi = kukubali uchawi upoHabari za mwanamalundi umeleta wewe au mimi?
Mimi nimekwambia hakuna uchawi.
Hizo hadithi za yesu zina mfanano wa hadithi nyingi za kale , kwenye jamii mbalimbali, hata wewe wanaweza wakaku frame wakakupa uhusika wa hadithi moja wapo na ukapigiwa promo tu.Kwa hiyo hata ile Jewish revolt ya mwaka 70 AD iliyepekekea hekalu kubomolewa ni hadithi za warumi za kutengenezwa?
Kwa hiyo unataka kusema hata habari za Antipater, Herod the Great hadi Herod Agripa na Nero ni habari za kutungwa na warumi?
Kuna habari za wana wa Israeli huko Misri unaweza ukazitilia mashaka kwa sababu hazina historical evidence lakini habari za Yesu kusema ni fabricated wasomi wa historia watakushangaa.
Hata kama yupo inathibitisha vipi uchawi upo na sio uelewa finyu wa watu kipindi hicho?Kukubali historia ya mwanamalundi = kukubali uchawi upo
Kutataa historia ya mwanamalundi unahitaji kujitoa ufahamu
Nakuuliza hivi, Unathibitishaje huyo mwanamalundi alikuwa anatumia uchawi?Kukubali historia ya mwanamalundi = kukubali uchawi upo
Kutataa historia ya mwanamalundi unahitaji kujitoa ufahamu
Procedure zipo mkuu.Mnapenda kuandika shit sana mitandaoni.
Mwenzako anaemuomba maria ana procedures ambazo zinaeleweka
Kwa nini na nyie msitoe procedures namna ya kuomba hio mizimu na ikafaidiss watu
Ila mnabaki tu na vimanenno maneno humu
Weka details, acha siaa buana
Humu JF tunatumia fake IDs. Huwezi jua kiwango changu cha elimu na mimi sijui kiwango chako cha elimu. Hadithi pekee hazitoshi kuthibitisha kama hicho kitu kimewahi kuwepo. Ingekuwa ni issue ya hadithi tu basi wanahistoria wengi wangepinga habari za YesuHizo hadithi za yesu zina mfanano wa hadithi nyingi za kale , kwenye jamii mbalimbali, hata wewe wanaweza wakaku frame wakakupa uhusika wa hadithi moja wapo na ukapigiwa promo tu.
Kuna hadithi ya sehemu fulani mkoa wa manyara , kuna mlima ulikua na visa vya watu kupotea then walikua wanaonekana baada ya siku kadhaa, watu waliamini ni uchawi na nguvu ya mizimu.Nakuuliza hivi, Unathibitishaje huyo mwanamalundi alikuwa anatumia uchawi?
Na si kitu kingine ambacho wewe hukifahamu?
Nani aliillaani mizimu??YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU
MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU
MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA
LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
Tatizo la waafrika hasa watanzania, Kitu ambacho hawakifahamu au maarifa ambayo hawayafahamu, Wana hitimisha kuita uchawi.Kuna hadithi ya sehemu fulani mkoa wa manyara , kuna mlima ulikua na visa vya watu kupotea then walikua wanaonekana baada ya siku kadhaa, watu waliamini ni uchawi na nguvu ya mizimu.
Ila baadae wageni fulani waligundua ndani ya ule mlima kuna uyoga ( magic mushrooms) ulikuwepo sasa mtu akiukanyaga unatoa pollens fulani yenye aina fulani ya ulevi ambayo inasababisha mtu anakua kama mlevi na kupoteza kumbukumbu na kumletea mauzauza( illusion,) watu waliamini ni uchawi %100
CementedYESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU
MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU
MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA
LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
wewe ni mganga wa kienyeji Fack uuuuuuuuuMsiache kuomba mizimu.
Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana.
Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana.
Dini za magharibi ziliundwa kwa ajili yao ndo maana wao wanatukuza mizimu yao.
Sasa wewe unamuacha Babu yako unaenda kumuomba Maria au sijui nani unakuwa haupo serious.
Bruno BauerHumu JF tunatumia fake IDs. Huwezi jua kiwango changu cha elimu na mimi sijui kiwango chako cha elimu. Hadithi pekee hazitoshi kuthibitisha kama hicho kitu kimewahi kuwepo. Ingekuwa ni issue ya hadithi tu basi wanahistoria wengi wangepinga habari za Yesu
Wewe siyo mzima ni kichaa,kwahiyo historia ya yesu asiye ukoo,nasaba na asili yako ndiyo ya kweli ila historia ya ukoo wako ambao ni nasaba na asili yako ndiyo siyo ya kweli,bwabwa kweli wewe!!Humu JF tunatumia fake IDs. Huwezi jua kiwango changu cha elimu na mimi sijui kiwango chako cha elimu. Hadithi pekee hazitoshi kuthibitisha kama hicho kitu kimewahi kuwepo. Ingekuwa ni issue ya hadithi tu basi wanahistoria wengi wangepinga habari za Yesu
Kichaa ni wewe. Umeuliza historia ya ukoo wangu nikasindwa kukupa? Halafu na mimi matusi nayajua sidhani kama utanishinda kwenye kutukana. Kama huwezi jibu bila kumkwaza mtu ni bora ukae kimyaWewe
Wewe siyo mzima ni kichaa,kwahiyo historia ya yesu asiye ukoo,nasaba na asili yako ndiyo ya kweli ila historia ya ukoo wako ambao ni nasaba na asili yako ndiyo siyo ya kweli,bwabwa kweli wewe!!
Uzibitisho= uthibitishoTunaomba utafiti na uzibitisho wa hili katika vijiji vyote tanzania uwe umeenda kwakila nyumba iliyopo vijijini nchini tanzania uwarekodi kua wanaabudu niini na maisha yao kwa kila nyumba maisha yao yapoje.
Ukoo wako ni wa yesu umeshajitanabahi hivyo bwege wewe huwezi ukawatumikia mabwana wawili nyau weweKichaa ni wewe. Umeuliza historia ya ukoo wangu nikasindwa kukupa?