Enthusiastic
Senior Member
- Dec 21, 2023
- 109
- 256
Kwa hiyo hata ile Jewish revolt ya mwaka 70 AD iliyepekekea hekalu kubomolewa ni hadithi za warumi za kutengenezwa?Hizo ni hadithi tu zimetengenezwa na warumi kupitia masimulizi ya kigiriki ndio maana 72 % ya wayahudi hawajaziweka hizo simulizi za kirumi kwenye masimulizi yao .
Kwa hiyo unataka kusema hata habari za Antipater, Herod the Great hadi Herod Agripa na Nero ni habari za kutungwa na warumi?
Kuna habari za wana wa Israeli huko Misri unaweza ukazitilia mashaka kwa sababu hazina historical evidence lakini habari za Yesu kusema ni fabricated wasomi wa historia watakushangaa.