Msiache kuiomba mizimu yenu, hii ndo njia rahisi ya kufanikisha mambo

Hizo ni hadithi tu zimetengenezwa na warumi kupitia masimulizi ya kigiriki ndio maana 72 % ya wayahudi hawajaziweka hizo simulizi za kirumi kwenye masimulizi yao .
Kwa hiyo hata ile Jewish revolt ya mwaka 70 AD iliyepekekea hekalu kubomolewa ni hadithi za warumi za kutengenezwa?
Kwa hiyo unataka kusema hata habari za Antipater, Herod the Great hadi Herod Agripa na Nero ni habari za kutungwa na warumi?
Kuna habari za wana wa Israeli huko Misri unaweza ukazitilia mashaka kwa sababu hazina historical evidence lakini habari za Yesu kusema ni fabricated wasomi wa historia watakushangaa.
 
Mpaka sasa sijawaona atheists kwenye huu uzi ila ingekuwa ni kuhusu Mungu chap wangewahi kuuliza thibitisha kama Mungu yupo😀😀😀
Kama Mungu hayupo na kama mizimu haipo sijui ni nini kinacho wawasha washa kujadili vitu ambavyo havipo
How sure are you that those things don't exist? 🤔
 
Kwa hiyo hata ile Jewish revolt ya mwaka 70 AD iliyepekekea hekalu kubomolewa ni hadithi za warumi za kutengenezwa?
Kwa hiyo unataka kusema hata habari za Antipater, Herod the Great hadi Herod Agripa na Nero ni habari za kutungwa na warumi?
Kuna habari za wana wa Israeli huko Misri unaweza ukazitilia mashaka kwa sababu hazina historical evidence lakini habari za Yesu kusema ni fabricated wasomi wa historia watakushangaa.
Hizo hadithi za yesu zina mfanano wa hadithi nyingi za kale , kwenye jamii mbalimbali, hata wewe wanaweza wakaku frame wakakupa uhusika wa hadithi moja wapo na ukapigiwa promo tu.
 
Mnapenda kuandika shit sana mitandaoni.

Mwenzako anaemuomba maria ana procedures ambazo zinaeleweka

Kwa nini na nyie msitoe procedures namna ya kuomba hio mizimu na ikafaidiss watu

Ila mnabaki tu na vimanenno maneno humu

Weka details, acha siaa buana
Procedure zipo mkuu.

Mfano sisi nimekua niliona wakitaka kwenda kuomba mizimu wanasaga mama kwenye jiwe wanachukua na chombo Cha mbao Kiko kama bakuli.
Wanakamua na maziwa kama hayapo maji yaliyo lala wanaenda kuomba na ukifika pale unavua malapa ama viatu vyako unaanza omba.

Pia Kuna mlima kipindi Cha nyuma walikuwa wanenda kuomba mvua unaenda na kondoo mweupe anachinjwa na nyama kuliwa hadi iishe huko huko hairudi. Ilibaki iteketezwe na moto majibu yalikuwa ya papo Kwa papo mkikosea masharti mvua itanyesha ya radi ama ya upepo. Haya mambo ni really kabisa mkuu
 
Hizo hadithi za yesu zina mfanano wa hadithi nyingi za kale , kwenye jamii mbalimbali, hata wewe wanaweza wakaku frame wakakupa uhusika wa hadithi moja wapo na ukapigiwa promo tu.
Humu JF tunatumia fake IDs. Huwezi jua kiwango changu cha elimu na mimi sijui kiwango chako cha elimu. Hadithi pekee hazitoshi kuthibitisha kama hicho kitu kimewahi kuwepo. Ingekuwa ni issue ya hadithi tu basi wanahistoria wengi wangepinga habari za Yesu
 
Nakuuliza hivi, Unathibitishaje huyo mwanamalundi alikuwa anatumia uchawi?

Na si kitu kingine ambacho wewe hukifahamu?
Kuna hadithi ya sehemu fulani mkoa wa manyara , kuna mlima ulikua na visa vya watu kupotea then walikua wanaonekana baada ya siku kadhaa, watu waliamini ni uchawi na nguvu ya mizimu.

Ila baadae wageni fulani waligundua ndani ya ule mlima kuna uyoga ( magic mushrooms) ulikuwepo sasa mtu akiukanyaga unatoa pollens fulani yenye aina fulani ya ulevi ambayo inasababisha mtu anakua kama mlevi na kupoteza kumbukumbu na kumletea mauzauza( illusion,) watu waliamini ni uchawi %100
 
YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU

MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU

MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA

LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
Nani aliillaani mizimu??
 
Tatizo la waafrika hasa watanzania, Kitu ambacho hawakifahamu au maarifa ambayo hawayafahamu, Wana hitimisha kuita uchawi.

Ukiwauliza uchawi ni nini?

Na wanathibitisha vipi ni uchawi?

Hawajui.
 
YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU

MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU

MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA

LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
Cemented
 
Msiache kuomba mizimu.

Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana.

Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana.

Dini za magharibi ziliundwa kwa ajili yao ndo maana wao wanatukuza mizimu yao.

Sasa wewe unamuacha Babu yako unaenda kumuomba Maria au sijui nani unakuwa haupo serious.
wewe ni mganga wa kienyeji Fack uuuuuuuuu
 
Humu JF tunatumia fake IDs. Huwezi jua kiwango changu cha elimu na mimi sijui kiwango chako cha elimu. Hadithi pekee hazitoshi kuthibitisha kama hicho kitu kimewahi kuwepo. Ingekuwa ni issue ya hadithi tu basi wanahistoria wengi wangepinga habari za Yesu
Bruno Bauer

G.A well

Richard carrier

Robert m price
 
Mizimu ni roho za wahenga ambazo zinadhaniwa zipo Kuzimu.
Sasa kama wahenga wenyewe walikufa maskini watakupa mafanikio yepi.
Kwa nini usimuombe anayemiliki vyote ili akupe ambaye ni Mungu?
 
Wewe
Humu JF tunatumia fake IDs. Huwezi jua kiwango changu cha elimu na mimi sijui kiwango chako cha elimu. Hadithi pekee hazitoshi kuthibitisha kama hicho kitu kimewahi kuwepo. Ingekuwa ni issue ya hadithi tu basi wanahistoria wengi wangepinga habari za Yesu
Wewe siyo mzima ni kichaa,kwahiyo historia ya yesu asiye ukoo,nasaba na asili yako ndiyo ya kweli ila historia ya ukoo wako ambao ni nasaba na asili yako ndiyo siyo ya kweli,bwabwa kweli wewe!!
 
Kichaa ni wewe. Umeuliza historia ya ukoo wangu nikasindwa kukupa? Halafu na mimi matusi nayajua sidhani kama utanishinda kwenye kutukana. Kama huwezi jibu bila kumkwaza mtu ni bora ukae kimya
 
Back
Top Bottom