Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

UKO SAHIHI SANA LAKIN MBAYA ZAIDI HATUWEZ EPUKA IVO VITU. so acha tusibir moto kama upo no way.
 
Umesahau na Jf!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
Unaongea na Waarabu wa Msanga na Chole kule ndani ndani?
 
Basi na NBC premier league pia ni ya shetani
 
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
Challenge za stress zimezidi unga au😄
 
Umesahau kuwa hata ukitumia smartphone kwa kidole chako pia wanakuigizia mkuyenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…