Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Tatizo la afya ya akili ni so severe nchi hii , nasndaa proposal ya kuanzisha hospitali special ya kufanya mental rehabilitation na psychotherapyLeo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.