Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
"UPENDO" ndiyo dini yetu, tena si TZ pekee, utaishi popote pale duniani kwa amani ya kutosha haijalishi utakuwa pamoja na Wapagani, wenye dini za Hinduism, Budhaa n.k maana yote kwa yote Binadamu tumeumbwa na Mungu muumbaji wa viumbe vyote, pia kuna maisha baada ya hapa duniani.kwahio TZ dini yetu niipi ukiacha zakuletewa?