Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

Ubaya wa hiyo tasisi unaweza kwenda apply ukaishia kuwa mtumishi wa ngazi za chini[emoji1787][emoji1787]hiyo sitaki
Nitakuunga na top mwenyewe utakyla mema balaa lkn usiwe nchoyo unikumbuke😅
 
Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western union, crypto currency, KFC, McDonald's, Emirates, Lufthansa, Qatar airways, tinder, ebay, Amazon, Microsoft, Western Union, Mpesa, EPL, UEFA, Pepsi, coca-cola, NBA, Nike, puma, Addidas, Disney, WarnerBroz, Hollywood, LGBT, women rights, internet,Tesla, Nasa
Boss wangu usiyafanye maisha kuwa magumu kiasi hiki aisee!
 
Kama nimeghaili kwenda kwenye appointment yamaana kisa mechi ya ufunguzi wewe ni nani unizuie? Ulokole wako kahubirie ndugu na jamaa wanaokuzunguka.
Huyo ni alhaji mswalihina jina. Nchi za kiislam zinetuma timu huko
 
wavaa kobazi wali kubikiri akapata mimba nawaka goma kukuoa mke wapili nini?Mana kila hoja lazima uwataje
Usiwe serious saaana na hii JF hadi kuhemkwa na matusi wewe Mvaa kobazi kisa tu dini tena ulizoletewa. Mbona kuna Mtu kanasibisha mada hii na Kwa Mwamposa, umeona yeyote hapo aliyejaa upepo kama wewe [emoji848][emoji847]
 
Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western union, crypto currency, KFC, McDonald's, Emirates, Lufthansa, Qatar airways, tinder, ebay, Amazon, Microsoft, Western Union, Mpesa, EPL, UEFA, Pepsi, coca-cola, NBA, Nike, puma, Addidas, Disney, WarnerBroz, Hollywood, LGBT, women rights, internet,Tesla, Nasa
Umesahau kuitaja CCM mkuu
 
Umesahau JAMII FORUM
 
.......yanatapatapa 😂😂😆😆
 
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
Hata Smart phone ni ufreemasoni huwezi wakwepa
 
Usiwe serious saaana na hii JF hadi kuhemkwa na matusi wewe Mvaa kobazi Lisa tu dini tena ulizoletewa wewe! Mbona kuna Mtu kanasibisha mada hii na Kwa Mwamposa, umeona yeyote hapo aliyejaa upepo kama wewe [emoji848][emoji847]
kafie mbele. unawashwa nini sasa? mkiongelea mambo yenu msiweke zihaka kwenye dini.
 
Daah, unacho amini kina kupeleka kombo. Freemason ni uchawi wa kizungu. Uchawi upo hata hapo mtaani kwako, uchawi ilikuwepo tokea enzi za Nuhu.

Imani yako ndio itakayo kulinda na kukuokoa. Nasio kuvikataa kila jambo linalofanywa na mwanadamu. Kumbuka vitu vyote vinafanywa kwa uweza wake Muumba Mbingu na Ardhi, pasipo yeye hakuna kinachoweza kufanyika.

Kila uvumbuzi, na mafanikio ya mwanadamu ni yeye ameyaruhusu kutokea na sio kwa uwezo wa shetani sababu hata huyo shetani hana uwezo hata punje kumfikia Muumba mbingu na Ardhi.

Kufupisha huo ujumbe hapo juu ni kuwa ACHA UJINGA SHUPAVU ULIONAO KICHWANI MWAKO
 
kafie mbele. unawashwa nini sasa? mkiongelea mambo yenu msiweke zihaka kwenye dini.
Ebu shushia maji ya bariiiidi kwanza Ndugu kisha jipige mara tatu kifuani ukisema walaaniwe waliotuletea dini zinazotutenganisha sisi kwa sisi wa-TZ Taifa la UPENDO, UMOJA na MSHIKAMANO...[emoji38]
 
Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western union, crypto currency, KFC, McDonald's, Emirates, Lufthansa, Qatar airways, tinder, ebay, Amazon, Microsoft, Western Union, Mpesa, EPL, UEFA, Pepsi, coca-cola, NBA, Nike, puma, Addidas, Disney, WarnerBroz, Hollywood, LGBT, women rights, internet,Tesla, Nasa
Wewe hapa umekujaje?
 
Ebu shushia maji ya bariiiidi kwanza Ndugu kisha jipige mara tatu kifuani ukisema walaaniwe waliotuletea dini zinazotutenganisha sisi kwa sisi wa-TZ Taifa la UPENDO, UMOJA na MSHIKAMANO...[emoji38]
kwahio TZ dini yetu niipi ukiacha zakuletewa?
 
Back
Top Bottom