Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

Lengo la mleta uzi ni kuwapata wazee wa kupanic naona umepatikana🤣
Sijui wengi kwanini huwa ni clueless kujua azma ya waanzisha baadhi ya nyuzi.
Jamaa kaja kuchangamsha genge kuna watu wanatapika nyongo. Kazi kwelikweli!
 
Idadi ya wachezaji katika timu Moja ni 11, na hiyo namba ni muhimu sana kwa jumuiya ya Ki- freemason, Kuna uhusiano gani? Ndio maana mpira una umaarufu duniani.
 
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
kama nakuelewa kwa jicho la tatu [emoji1787][emoji1787]
 
Sijui wengi kwanini huwa ni clueless kujua azma ya waanzisha baadhi ya nyuzi.
Jamaa kaja kuchangamsha genge kuna watu wanatapika nyongo. Kazi kwelikweli!
Bro watu wamejaa sress za mapenzi wamepigwa vibuti, wengine hajira hakuna, wengine wagonjwa, wengine basi tu vichwa panzi🤣🤣🤣🤣
 
"Imani bila matendo imekufa" kama matendo yako hayaakisi wema mbele za Mungu na hata Binadamu wenzio ni heri tu uanze mapema kutubu hiyo dhambi na kumwomba Mungu akurehemu ili uishi jinsi anavyopaswa kuishi Mcha Mungu.

Moja ya tabia isiyoakisi tabia za Mungu ni chuki kwa Binadamu mwenzio unayemwona ilihali unampenda Mungu asiyeonekana isipokuwa kwa imani tu, huo ni unafki ambao hata shetani anakushangaa...[emoji16]
hata maana yaunafki huijui. unajikanyagatu huna maelezo yalio nyooka.
 
Ila mpesa na tigo pesa za kupokelea sadaka sio za freemasons.

#MaendeleoHayanaChama
 
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
unatutahadharisha ili ufaidi peke yako? acha mambo ya ulodilofa
 
Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western union, crypto currency, KFC, McDonald's, Emirates, Lufthansa, Qatar airways, tinder, ebay, Amazon, Microsoft, Western Union, Mpesa, EPL, UEFA, Pepsi, coca-cola, NBA, Nike, puma, Addidas, Disney, WarnerBroz, Hollywood, LGBT, women rights, internet,Tesla, Nasa
[emoji3][emoji3]wakati huo huo umetumia internet inayotumiwa na freemasons kutupa habari
 
Hata kipindi kile Yesu alijua kuna magari ya kukokotwa na punda ambayo wafalme na matajiri ndio walikua wanayatumia, na ukuu wake wooooote na ufalme wake woooote aliagiza PUNDA TU, ndipo alipo haramisha magari hapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe magari ni haramu? Sikuwahi kujua aisee
 
Back
Top Bottom