Tatizo la afya ya akili ni so severe nchi hii , nasndaa proposal ya kuanzisha hospitali special ya kufanya mental rehabilitation na psychotherapyLeo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
Tatizo la Mtanzania uwezo wake wa kufikiri kuona jambo jipya unapokoma ataita freemason. Ukiipata utajiri kwa biashara sizizoonekana kwa macho kama za mitandaoni watakuita freemason.Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] me twitter na WhatsApp natumia kama nimeingizwa kuwa mwanachama mbona kwenye account yangu sioni mtonyo wowote? AU NDIO NITUMI AFUTATU YA KUJIUNGA
[emoji3518][emoji3519] ni hatariKumbe magari ni haramu? Sikuwahi kujua aisee
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.