Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

mimi sio mfuasi wa Lissu au Chadema, mimi mtu huru sio msukule wa mtu, nyie misukule mnaoabudu maiti zinazozungushwa barabarani msidhani kila mtu ni msukule kama nyie
Huyo Lissu awe rais ama asiwe rais sio shida kwangu, Magufuli kufa ndio kitu muhimu na hakuna kiongozi wa hovyo kama yeye atawahi kutokea tena Tanzania, hata CCM hawataruhusu
Magufuli lala salama baba dunia imeona ya kuwa watanzania wengi walimpenda Magufuli ,
 
Unadhan kwa unaowaona nani anafaa, maana Mbowe ndio mtu mwenye sifa kias za uongozi hayo mengine mazwazwa tu kama wewe
Wenye akili timamu walishasepa upinzani😂! Dr. Slaa na kundi lake! Wamebaki mapopoma akina Mbowe na kundi lake linalikujumuisha!
 
Acha dharau kibanda sio .Dunia haisimami ndio maana hata aliyebomoa naye hayupo.Maishq haya Mungu ndio mahali kaweka usawa.Leo mtu aliyekuwa na jeshi ,magereza nk he is helpless
Acha kulialia shida zako hapa, soma ueelewe kilichowasilishwa, mimi sikukutuma kujenga kibanda chako barabarani na kama ulijenga makusudi kungojea
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufahamu kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakuwa wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
Kosa la viongozi wa Cdm ni nini ?!. Kusema kuwa Mzee ni mgonjwa ! Au kusema Mzee amefariki ?!. Wale waliosema Mzee ni mzima na anachapa kazi ikulu ndiyo wakweli ?.

Tatizo waTz tumekuwa washabiki mpaka hata ukweli hauonekani. Ukweli hugeuzwa kuwa uongo. Ktk sakata hili . Hao wanaoitwa wapinzani ni wa kweli , sema ni watoto wa kambo .
 
Yaani kuna vijana akili zao mpaka unashangaa hivi ndio anazotumia kuishi na kutafuta riziki, maana hata uandike nini yeye kutukana, hakuna muda wa kutafakar yeye anashuka tu kama kondoo, yaani akili unaona hata kuvukia barabara tu hazitoshi, nlichoandika hapo wenye akili wameelewa vyema kwamba Kua kiongozi ni pamoja na kua na uwezo wa kuzuia chuki na mdomo, ongea kidogo na kila ukisema hakikisha unayosema sio ya kuumiza watu, mbona simple tu ila kuna kondoo hazieelewi.
walimu wako wa siasa ni vilaza!! watu hata uwafurahishe vipi!!! Wabebe ubebavyo iko siku wanakugeuka tu. Yesu aliwakosea nini wakampa kichapo kile???

Kuna watu hawataki kujua Mungu yupo!! Pamoja na kuwapa pumzi sasa wewe ni nani upendwe!!

Ishi wewe km wewe siyo kufurahisha watu. Acha hizo!!
 
Back
Top Bottom