Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

Yaani kuna vijana akili zao mpaka unashangaa hivi ndio anazotumia kuishi na kutafuta riziki, maana hata uandike nini yeye kutukana, hakuna muda wa kutafakar yeye anashuka tu kama kondoo, yaani akili unaona hata kuvukia barabara tu hazitoshi, nlichoandika hapo wenye akili wameelewa vyema kwamba Kua kiongozi ni pamoja na kua na uwezo wa kuzuia chuki na mdomo, ongea kidogo na kila ukisema hakikisha unayosema sio ya kuumiza watu, mbona simple tu ila kuna kondoo hazieelewi.
hapo penye kuumiza watu, mbona huyo wa kwenu mlikuwa hamwambii ??
 
Kipenzi cha dunia...kama nusu ya dunia imeangalia...

Maadui wachache sana hata 100 hawafiki[emoji3][emoji3]
Very true , kuna watu wanaumia kweli kwa hili , sijui walitakaje? Walifikiri magufuli yupo peke yake dah! Kumbe wao ndio kagenge kao kako kiduchu ila kelele nyiingii.
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufahamu kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakuwa wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
Usiwapangie familia ya chadema nini Cha kufanya mkuu, lissu Kama familia ya chadema,wanajua umuhimu wake, that's,mh mbowe na wanachadema walipigana kufa na kupima kuona mh lissu yu hai,kufatia Marisa's mengi Kama anapigwa tembo,au kushambulia alshabab, wahusika mungu anawaona nasema,
So hakuna la lissu lisilo kua la chadema au wananchi wapenda haki,hivyo hivyo hakuna la mh mbowe,au mwanachama yeyote lisilokua la familia ya chadema,achana na chadema mkuu
 
Binafsi namfananisha magufuli na lisu KWENYE KAULI zao.
Ukiacha matendo .
Hata marehemu hakuwa na kauli nzuri.tuyaache hayo maana yamepita.tuzungumzie huyu ambaye yupo HAI.ABADILIKE
Acha mzaha kwa Hayati.
 
Kitu ambacho hujaelewa na nnaomba uelewe ni kua sijaja kumsafisha Mbowe ila upande wake mzuri linapokuja swala la uongozi ni Ile hekma ya kiuongozi alio nayo, uwezo wa kuongea pale muda unapotaka afanye hivyo na anapoongea unaona maneno ya kioungozi, hayo ya kupiga dili na makandokando yake mengine yanabakia huko
Kama wewe unamuona huyo mpigadili kiongozi basi utakuwa kipofu wa fikra, usiyejua hata maana ya kuwa kiongozi.
 
Shida mbumbumbu wachache wanatokwa povu huku hawajaelewa hata nlichomaanisha mkuu
Hii ni hakika...Freeman Mbowe ame demonstrate leadership skills...Ni very diplomatic, fair, wise and very strong in his arguments..
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mkosa akili kaja kunya tena
Hakuna mtu wa namna hiyo tena. Jiwe pekee ndiye aliyekuwa na roho ya kikatili ya namna hiyo.

Mtaendelea kumshambulia Mh Lissu lkn hamtofanikiwa kwani maisha yake yako mikononi mwa Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi.

Kwanini mnatumia nguvu nyingi kumpatanisha Mh Lissu na Mtu ambaye tayari ni Mfu?? Kwanini hamkuhangaika wakati wa uhai wake kuwapatanisha?? Hivi sasa anaeweza kuwapatanisha ni Mungu pekee kwani ni yeye aliyewaumba.
 
Kiukweli mi sinaandika uzi kusafisha madhaifu ya Mbowe, nimeandika kuonyesha upande wake mzuri linapokuja swala la uongozi, yes anaweza kua na madhaifu kedekede ila kwenye Leadership language and tolerance jamaa yuko vyema sana tu wala sio wa kufananishwa na pimbi yoyote
Aisee. Hii inaleta raha. Wale waliokuwa wakimlaani sana Mbowe kwa kung’ang’ania kiti leo wanaziimba sifa zake halisi walizokuwa wakiziponda kwa jazba kuu!

Alisingiziwa kumuua Wangwe. Akadaiwa kutega mabomu kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha. Mollel akadai ndiye aliyeendesha mipango ya kumpiga risasi Lissu. Akadaiwa kuanzisha vurugu “zilizopelekea mauaji ya Akwilina”! Nk, nk.

Anyway, a gentleman and statesman will always remain so. Yaelekea kifo cha JPM kimerudisha SANITY kwa baadhi ya Watanzania wenzetu. Mbowe alishawahi kuasa kuwa kuna maisha baada ya siasa.

Big up Mbowe

RIP JPM
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Acha kulialia shida zako hapa, soma ueelewe kilichowasilishwa, mimi sikukutuma kujenga kibanda chako barabarani na kama ulijenga makusudi kungojea fidia pole sana
Wakiwepo mnaongea ,wasipokuwepo miasma.Sasa kwani kuudhuria msiba si utashi wa mtu au chama.Mimi mbona sijatoka nyumbani wala kuangalia TV kuhusiana na kifo cha Rais.Kila mtu anamoyo wake na usilazimishe kwa sababu ni Rais kafa basi kila mtu ahuzunike sawa.Mfano mimi nimebomolewa nyumba kimara bila fidia na mahakama ilishasema nilipwe ,umenitwanga rises,umenivunjia Mali zangu nk unataka ulazimishe watu wakahuzunike.Wewe mwakishe tu
 
Mkosa akili kashapaka uzi kinyesi, hiv unaa akili sawasawa kweli au ndio amnazo, read between the line Mr. Kilazwa
Umepima wapi ujinga wao kama wewe sio mjinga pia ?, kwa sababu unapowashauri watu jiepushe kuuanika ujinga wako, jitahidi kuzuia mapenzi yaliyopitiliza kwa huyu aliekufa kiasi kukutia mshawasha na kuandika ujinga wako hapa, alikufa baba wa taifa mbona hatukuona haya mambo yenu ya kijinga kama yanayojiri sasa ??.
 
Read between the line, elewa ndio utajua umeandika pumba maana sinasema waomboleze ila uongozi na visasi hawaishi pamoja, kiongozi bora hutakiw kuonyesha chuki kama wanavyofanya hao
Kaonyesha chuki gani? Huoni ametoa mawazo yake bila unafiki? Mtu aliyetaka kuua na bado ana nia ya kukua akifa huoni umuhimu wa yeye kufurahi? Magufuli bado alikuwa anatafuta chance ya kumuua Lissu, hata wapambe wake walisema hawatakosea tena.! Halafu hili la kusema ''read between the lines'' (kuna ''s'' kwenye neno ''line'' elewa hilo) umelikakari hujui hata maana yake. Kuna nini kilichojificha kwenye uporo ulioandika? mbona mambo yako wazi kabisa?
 
Mkosa akili kaja tena haya endelea kumwaga mbolea tu ndio unachojua

Wameanza kupinga wingi wa watu wanaojitokeza kwenye kumuaga JPM..

Wanachukizwa na Love anayopata..

Wako wachache ila wanakelele sana
Very true , kuna watu wanaumia kweli kwa hili , sijui walitakaje? Walifikiri magufuli yupo peke yake dah! Kumbe wao ndio kagenge kao kako kiduchu ila kelele nyiingii.
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufahamu kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakuwa wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
ukipanda chuki unavuna chuki
 
Mkosa akili kaja tena haya endelea kumwaga mbolea tu ndio unachojua
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mwenye akili kajibu tena! Analichokariri ni ''read between the line''. Hajui hata sahihi ni ''read between the lines''. Huyu jiniazi wetu bwana! Kaandika makala nzuri kweli kweli! Wahaya walisema ''Nafwaaaaaaa''
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufahamu kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakuwa wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
Mbowe ni BARAZA ZIMA LA MAWAZIRI na MATAGA wote, wakiungana na hawamkuti kwa busara.
 
Tumefiwa na wala hatutaki teuzi yeyote. Tuache tuomboleze raisi wetu.
 
Back
Top Bottom