Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

mimi nilikuwa simkubali magufuli.
TANGU ZAMANI TANGU ALIPO KUWA WAZIRI WA UJENZI.
kuna kauli aliisema kwa watu wa kigamboni.
Kuwa kama hauna 200 ya kupanda panton PIGA MBIZI.
niliwaambia watu huyu hafai kuwa raisi.
Na nilikuwa nampinga sana nikiwa facebook.
nilipomkubali magufuli ni kwenye MISIMAMO YA CORONA Tu.
Hapo nipo nae.
Tunaona matunda ya misimamo yake aliko panamstahili
 
Wasiojua kitu wote bado wanaamini lissu lile onyo alipewa na serikali ya Magu,,, upuuzi mtupu,, Ile ni game ya Chadema na siku zote Chadema walipochezesha game zao serikali haikupoteza muda wala senti kupeleleza ujinga huo wa kutafuta attention kwa kuichafua serikali,,Lissu alipigwa risasi ngapi na mguu gani?? Abiria aliyekaa kiti cha mbele hawezi kupigwa risasi mguu wa kulia ingekuwa mguu wa kushoto na ambaye angepigwa mguu wa kulia ni dereva siyo yeye,,, hivi kuna mtu kati yenu anaijua risasi?? Hakuna mbwa wala paka mwenye roho saba anaweza kupona risasi mbili au tatu siyo risasi ati 17 hizo ni rubber bullets siyo shaba msitutanie tumewindia hizo hata ndovu hatemi,,,,Na je kumzuia dereva wake asihojiwe na polisi kufanya upelelezi ndiyo nini mlitaka polisi wapeleleze kwa kuwahoji bundi?? Msituletee chuki kwa michezo yenu na 2025 mtaibika kwa kipigo cha mama Samia tafuteni kazi nyingine na Lissu na Lema wafanye biashara mtandaoni ya lubricants za gays ili wasukumane choo smoothly ndiyo inalipa sana!!!!
Kama ni Chadema na mlikuwa mnajua, kwa nini wasikamatwe wakafunguliwa kesi kwa jinsi wanavyopenda kufungulia kesi viongozi wa upinzani?

Magufuli alikuwa ndio muuaji, kaua watu wengi sana, watu wengi walisali sana huyu mtu afe ili nchi ipone na Mungu kajibu maombi yao
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lkn wengi sana walikua wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufaham kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakua wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
Kama wewe unamuona huyo mpigadili kiongozi basi utakuwa kipofu wa fikra, usiyejua hata maana ya kuwa kiongozi.
 
Takwimu zilizotolewa za watazamaji hii ni kuwahadaa wananchi kwa sababu za CCM za kumtukuza binadamu badala ya MUUMBA MBINGU NA DUNIA
 
Magufuli ndio baba wa chuki Tanzania, ndio maana Mungu kamuondoa mapema Tanzania ipone
Japo siungi mkono chuki kulipiza chuki, Lissu angesema amemsamehe ningefurahi zaidi, ila siwezi kumlaumu hata asiposema
Subirini tamko la Mh Lissu baada ya mazishi.
 
Magufuli ndio baba wa chuki Tanzania, ndio maana Mungu kamuondoa mapema Tanzania ipone
Japo siungi mkono chuki kulipiza chuki, Lissu angesema amemsamehe ningefurahi zaidi, ila siwezi kumlaumu hata asiposema
Haswaaa ni ukweli ambao watu hawapendi kuusikia. Unafiki tu.
 
Nnaona wakosa akili wameendelea kujitokeza, lkn nnawakumbusha akumulikae mchana, usiku hukuunguza, yaani kama mtu unaweza hadharani kusherekea kifo cha mtu eti kisa tu unamchukia, siku ukipewa mabunduki yote, vifaru, mabomu na deraya utamaliza wale usiokubaliana nao.
Magu kamaliza wangapi?. Wengine wamo gerezani wengine watahukumiwa jana nguvu ya umma ikawachomoa. Mbona walimnyima hela ya matibabu na kuzuia asiombewe. Hii ya kuondoka jamaa ni ishara muisome vyema tena sana.
 
Yaani kuna vijana akili zao mpaka unashangaa hivi ndio anazotumia kuishi na kutafuta riziki, maana hata uandike nini yeye kutukana, hakuna muda wa kutafakar yeye anashuka tu kama kondoo, yaani akili unaona hata kuvukia barabara tu hazitoshi, nlichoandika hapo wenye akili wameelewa vyema kwamba Kua kiongozi ni pamoja na kua na uwezo wa kuzuia chuki na mdomo, ongea kidogo na kila ukisema hakikisha unayosema sio ya kuumiza watu, mbona simple tu ila kuna kondoo hazieelewi.
Kwa hiyo magu hakuwa kiongozi sasa. Acha watu waseme.
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lkn wengi sana walikua wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufaham kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakua wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
Hii ni hakika...Freeman Mbowe ame demonstrate leadership skills...Ni very diplomatic, fair, wise and very strong in his arguments..
 
Yasikie kwa wenzio tu yakija kukupata utaomba poooh
 
Back
Top Bottom