Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

Wasiojua kitu wote bado wanaamini lissu lile onyo alipewa na serikali ya Magu,,, upuuzi mtupu,, Ile ni game ya Chadema na siku zote Chadema walipochezesha game zao serikali haikupoteza muda wala senti kupeleleza ujinga huo wa kutafuta attention kwa kuichafua serikali,,Lissu alipigwa risasi ngapi na mguu gani?? Abiria aliyekaa kiti cha mbele hawezi kupigwa risasi mguu wa kulia ingekuwa mguu wa kushoto na ambaye angepigwa mguu wa kulia ni dereva siyo yeye,,, hivi kuna mtu kati yenu anaijua risasi?? Hakuna mbwa wala paka mwenye roho saba anaweza kupona risasi mbili au tatu siyo risasi ati 17 hizo ni rubber bullets siyo shaba msitutanie tumewindia hizo hata ndovu hatemi,,,,Na je kumzuia dereva wake asihojiwe na polisi kufanya upelelezi ndiyo nini mlitaka polisi wapeleleze kwa kuwahoji bundi?? Msituletee chuki kwa michezo yenu na 2025 mtaibika kwa kipigo cha mama Samia tafuteni kazi nyingine na Lissu na Lema wafanye biashara mtandaoni ya lubricants za gays ili wasukumane choo smoothly ndiyo inalipa sana!!!!
Yaani manajiona manaandika vitu vya maana kumbe upumbavu tu

Ata kama mnatafuta teuzi muwe mnajiongeza kidogo
 
Inakuumiza kihivyo boss?
hahaaa, umeamini hizi propaganda? Hapo Rwanda kwenyewe tu japo ni majirani hawakuwa na muda na huu msiba. Tv za nje zilizoonyesha ni za Kenya na Uganda wewe unaamini kwa sababu umeona screenshot ya hiyo acount ambayo haipo hata verified?
 
Una uhakika!
Nakuona hapo unafanya yako hapo chatou msibani
Screenshot_20210309-134942.jpg
 
Magufuli anaendelea kuishi kwenye mioyo ya watanzania

Wacheni tuomboleze kwa amani



Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan[emoji1241][emoji120]

Alale salama Mwamba[emoji174][emoji174][emoji174]
Mwamba wa kifo.
 
Nnaona wakosa akili wameendelea kujitokeza, lkn nnawakumbusha akumulikae mchana, usiku hukuunguza, yaani kama mtu unaweza hadharani kusherekea kifo cha mtu eti kisa tu unamchukia, siku ukipewa mabunduki yote, vifaru, mabomu na deraya utamaliza wale usiokubaliana nao.
Kama kiongozi mwenzake Lisu alivyopigwa risasi Magufuli aliongelea hilo swala?
 
Asee umefikria mbali sana mzee ww geneous mm sio chadema ila mbowe hua naona ana kitu cha kiuongozi ila sio hao paka wengne
Mfano ulivyoita paka ivyo yaaani mkifa tutaendelea kufanya sherehe sana na Mungu alivyomkubwa kila siku anatujibu kwa wakati
 
Back
Top Bottom