Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

Si tu anafaa kuwa mwenyekiti wa Milele pale Chadema bali pia ni lazima sasa atuzwe kwa namna ambayo ameweza kuonyesha ukomavu wa kisiasa hasa kwa kipindi hiki cha msiba mkubwa wa Taifa.

Mbowe amejitenga na wapuuzi wachache ndani ya chama chake ambao wao wanautumia msiba huo kwa kukejeli,kutusi na hata kuongea mambo ya hovyo yasiyoendana na mila na desturi zetu hasa wakati wa msiba.

Mbowe.jpg
 
Huwezi kulazimisha binadamu wote wawe na mtizamo unaofanana kila moja na hulka yake labla pengine wewe ndio ungefanyiwa unyama aliofanyiwa Lissu huenda reaction yako ingekuwa extreme kuliko ya Lissu leo.

Hakuna mtu aliyewahi kufariki duniani na wote wakawa na simanzi, haijawahi kutokea na kamwe haitatokea.

Mtu kwa amri zake wengine hawajulikani walipo, wengine tayari wameuwawa, wengine ni wahanga wa amri zake, wengine wako jela na wengine wamepoteza ajira halafu bado mnataka eti kila moja ahuzunike kwa kifo chake, kivipi?

Mimi nasema Mungu pekee anajua alichokifanya kwa kumuondoa Magufuli duniani inavyoonekana kuendelea kubaki madarakani ingeleta madhara makubwa kwa nchi hii.

Praised be the living God for he knows better what he has done ✅ Tanzania will continue to flourish in the aftermath of the Magufuli demise. This country is greater than any individual and there is no void left.
 
Si tu anafaa kuwa mwenyekiti wa Milele pale Chadema bali pia ni lazima sasa atuzwe kwa namna ambayo ameweza kuonyesha ukomavu wa kisiasa hasa kwa kipindi hiki cha msiba mkubwa wa Taifa.

Mbowe amejitenga na wapuuzi wachache ndani ya chama chake ambao wao wanautumia msiba huo kwa kukejeli,kutusi na hata kuongea mambo ya hovyo yasiyoendana na mila na desturi zetu hasa wakati wa msiba.
Hata ndani ya CCM kibao wamefurahi kama hujui
 
Si tu anafaa kuwa mwenyekiti wa Milele pale Chadema bali pia ni lazima sasa atuzwe kwa namna ambayo ameweza kuonyesha ukomavu wa kisiasa hasa kwa kipindi hiki cha msiba mkubwa wa Taifa.

Mbowe amejitenga na wapuuzi wachache ndani ya chama chake ambao wao wanautumia msiba huo kwa kukejeli,kutusi na hata kuongea mambo ya hovyo yasiyoendana na mila na desturi zetu hasa wakati wa msiba.
Tatizo la Mbowe hana uwezo wa kukemea maovu ndani ya chama chake.
 
Mbowe anazidi kukomaa kisiasa,akiwiva kabisa basi sinashaka CCM watamchukua,awezi kukosa wizara yule.
 
Si tu anafaa kuwa mwenyekiti wa Milele pale Chadema bali pia ni lazima sasa atuzwe kwa namna ambayo ameweza kuonyesha ukomavu wa kisiasa hasa kwa kipindi hiki cha msiba mkubwa wa Taifa...
Mbowe ni baba asiyeheshimika na wanae
Muulizeni Kigwa habari ya dad ake😎😎

Asipo act hapo anaonekana kuwasupport, au awaadhibu au awaachie mji
 
Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.

Edward Lowasa alifafanua madhara ya chama kubaki cha kiharakati muda wote kuwa ni pamoja na kupinga maendeleo yote ya nchi ,kuombea mabaya nchi ,kushirikiana na mabeberu ili kuiibia nchi ,pamoja na kushangilia kila lililobaya kwa taifa ili kumfurahisha tu anayefadhili hizo harakati zako. Matokeo ya harakati hizi ni chama kuchukiwa na wazalendo na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Hakika Lowasa aliona mbali. Leo brand ya chadema imeharibiwa vibaya, chama kilichojizolea umarufu kwa kutetea wanyonge leo kinataka machinga na mama ntilie wafukuzwe mitaani!!! Leo ni furaha kubwa kwa Chadema ndege kukamatwa na wazungu!!!

Pia tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia
 
Kuna akili ndogo zinadhani niko hapa kutetea mtu, akili kubwa zimeshanielewa kwamba hapa nimejaribu kuwaonyesha Akili kubwa alionayo Mbowe Vs udogo na ufinyu wa akili ya hao waliobakia
 
Mbowe ni baba asiyeheshimika na wanae
Muulizeni Kigwa habari ya dad ake[emoji41][emoji41]

Asipo act hapo anaonekana kuwasupport, au awaadhibu au awaachie mji
Tangu lini uliwahi kusifia watu wa upinzani?
 
Naona spana za Lisu zinafika sehemu husika mpaka inabidi Mbowe avishwe kilemba cha ukoka, ili kupunguza maumivu kwa chama cha dhalimu.
Lisu analiwa 071 kwa malipo ya kupewa bando la kupost mitandaoni na mabeberu.
 
Back
Top Bottom