Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lkn wengi sana walikua wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufaham kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakua wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
Duh, mtu akiamua kukutukana i see! Eti wale wenye akili wanataka Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti, maisha! Kama kweli hao ndio wenye akili basi huko chadema wote ni popoma 😂, pungu kabisa! Wenye akili wangejipanga kuweka mazingira ya kidemokrasia ili kushika nafasi hiyo kwa mmoja wao😂! Lakini kueandelea kung'ang'ania kuongozwa ni unyumbu kabisa! Hata huyo popoma mwenzenu unayemuita smart kama kweli angekuwa smart asingeng'ang'ania madaraka, angeshamuandaa mwingine wa kumwachia kijiti na kwa sasa yeye angekuwa mM/kiti mstaafu!
Lakini kwa kuwa mmejazana nyumbu tupu ndio maana mpo hivyo mlivyo!
 
Mbowe ndiye shujaa. Kwa unyama serikali ya marehem iliyomfanyia yeye na mali zake, angeshakufa. Sasa yeye ndiye atawazika kwanza.
 
Watu 3.4 billions dumiankli wanafuatilia msiba wa mwana mapinduzi wa Africa..

Magufuli ndio baba wa chuki Tanzania, ndio maana Mungu kamuondoa mapema Tanzania ipone
IMG-20210322-WA0027.jpg
 
Zawadi attached...

Watu 3.4 billions dunianj wanafuatilia msiba wa Magu
Magufuli anaendelea kuishi kwenye mioyo ya watanzania

Wacheni tuomboleze kwa amani

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan[emoji1241][emoji120]

Alale salama Mwamba[emoji174][emoji174][emoji174]
IMG-20210322-WA0027.jpg
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lkn wengi sana walikua wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufaham kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakua wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
Kwa upinzani yeye ndio amekomaa hawa wengine hamna kitu aisee
 
Kama kisingizio ni risasi au kutishwa na kukimbia nchi, hata Mbowe yapo madhila aliyofanyiwa lakini hekima aliyonayo ndio inayomtambulisha wakati huu kama kiongoz
Hapa umechemka vibaya sana.

Hivi unaweza kufananisha tukio la kupokwa 'shamba' la mbowe dhidi ya Lissu kumiminiwa shaba mfululizo kwa minajili ya kumtoa roho?

Na bado wakaendelea kukuwinda wakupeleke futi 6?
C'mon dude!
 
Naona spana za Lisu zinafika sehemu husika mpaka inabidi Mbowe avishwe kilemba cha ukoka, ili kupunguza maumivu kwa chama cha dhalimu.
Wewe na mabwege wenzako mnamuona kama Mbowe kama Mungu. Hamna akili kabisa.
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lkn wengi sana walikua wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufaham kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakua wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
It is just a matter of time Mhe. Mbowe anaenda kuchukua ubunge wa kuteuliwa na kupewa nafasi ya uongozi katika serikali ya awake ya 6.
 
Mbowe ni kiongozi ambaye kama taifa hatujamtumia (yutilaizi efektivuli?......ukiangalia utulivu wake,leadership style, namna anavyojenga hoja bila kupayuka na lugha yake anafaa kabisa siku moja kuwa kiongozi ktk post ya juu kabisa ya Tz,kuanzia Pm kwenda juu......narudia tena Mbowe hatujamtumia kama taifa
 
Si tu anafaa kuwa mwenyekiti wa Milele pale Chadema bali pia ni lazima sasa atuzwe kwa namna ambayo ameweza kuonyesha ukomavu wa kisiasa hasa kwa kipindi hiki cha msiba mkubwa wa Taifa.

Mbowe amejitenga na wapuuzi wachache ndani ya chama chake ambao wao wanautumia msiba huo kwa kukejeli,kutusi na hata kuongea mambo ya hovyo yasiyoendana na mila na desturi zetu hasa wakati wa msiba.

Apandacho mtu ndicho atakachovuna.....

Kamongo alipanda hicho wacha avune
 
Back
Top Bottom