Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lkn wengi sana walikua wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufaham kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakua wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
Kwenye msiba huu, Tundu Lissu akitoa hisia zake anaweza kuwa exempted 100%.

Imagine mtu amepigwa risasi 16, amenyimwa matibabu, amenyimwa mshahara na akafukuzwa hata kazi huku akiwa katikati ya maumivu ya risasi 16. Inahitajika roho ya malaika kumsamehe mtesi wako!
 
mimi nilikuwa simkubali magufuli.
TANGU ZAMANI TANGU ALIPO KUWA WAZIRI WA UJENZI.
kuna kauli aliisema kwa watu wa kigamboni.
Kuwa kama hauna 200 ya kupanda panton PIGA MBIZI.
niliwaambia watu huyu hafai kuwa raisi.
Na nilikuwa nampinga sana nikiwa facebook.
nilipomkubali magufuli ni kwenye MISIMAMO YA CORONA Tu.
Hapo nipo nae.
Kweli mjingawewe! Basi mtu wenu amedanja unatakaje sasa? Alitaka kuigeuza nchi kama Burundi!!
 
mimi nilikuwa simkubali magufuli.
TANGU ZAMANI TANGU ALIPO KUWA WAZIRI WA UJENZI.
kuna kauli aliisema kwa watu wa kigamboni.
Kuwa kama hauna 200 ya kupanda panton PIGA MBIZI.
niliwaambia watu huyu hafai kuwa raisi.
Na nilikuwa nampinga sana nikiwa facebook.
nilipomkubali magufuli ni kwenye MISIMAMO YA CORONA Tu.
Hapo nipo nae.
Hata mimi tulipishana naye kwenye matendo yake ya hovyo! Huwezi kuagiza watu wakammiminie risasi mtu eti kwa vile anakupinga tu, haiwezekani! Alivyoua watu nikawa nimekata mawasiliano na yeye!
 
Kiongozi mzuri anapimwa kwa maneno yake..
Mchunguzeni lisu maneno yake.
Kama wewe ni mkweli kwa nafsi yako , basi anzia uchunguzi kwenye maneno, lugha na matendo ya marehemu kwa binadamu wenzie kama hautaishia kulazwa kwa HBP, kuchanganyikiwa au vyote.
 
Watu 3.4 billions dumiankli wanafuatilia msiba wa mwana mapinduzi wa Africa..

View attachment 1732576
hahaaa, umeamini hizi propaganda? Hapo Rwanda kwenyewe tu japo ni majirani hawakuwa na muda na huu msiba. Tv za nje zilizoonyesha ni za Kenya na Uganda wewe unaamini kwa sababu umeona screenshot ya hiyo acount ambayo haipo hata verified?
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lkn wengi sana walikua wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufaham kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakua wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
nikweli Seema sasa awafunze na viongozi wenzake
 
Nnaona wakosa akili wameendelea kujitokeza, lkn nnawakumbusha akumulikae mchana, usiku hukuunguza, yaani kama mtu unaweza hadharani kusherekea kifo cha mtu eti kisa tu unamchukia, siku ukipewa mabunduki yote, vifaru, mabomu na deraya utamaliza wale usiokubaliana nao.
Kuna watu ambao hata hawajawahi kuguswa na utawala wa JPM lakini walikuwa wanashangilia. Sijui tumefikaje hapa.
 
Ata mimi nilifikiria hivyo hivyo kama wewe, huyu Tundu amejawa na chuki na visasi si mtu wa kupewa madaraka huyu hafai.
 
Hapa umechemka vibaya sana.

Hivi unaweza kufananisha tukio la kupokwa 'shamba' la mbowe dhidi ya Lissu kumiminiwa shaba mfululizo kwa minajili ya kumtoa roho?

Na bado wakaendelea kukuwinda wakupeleke futi 6?
C'mon dude!
Matukio hayafanani, ila kuipiga mateke maiti wakati huu kwangu ni sawa na kupoteza muda tu, anatakiwa ajifunze ajue ni wakati gani wa kupiga kelele, na wakati upi wa kupunguza sauti huku wakitafuta muelekeo mpya wa sera za chama chao.

Kutegemea madhaifu ya utawala wa Magufuli kutafuta promo kwenye awamu hii mpya ni sawa na kamari wanayoicheza, wawe tayari kwa lolote.
 
Kuna ukweli mkuu kwenye mawazo yako haya..

Ila hata watawala wajifunze kwa MBOE.. wao ndio viongozi wetu lkn wana chuki za waziwazi na roho mbaya kama wana maduka ya SUMU
 
Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lkn wengi sana walikua wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli.

Maandiko yao na maneno yao kwa vyombo vya habari imesaidia sana kutupa picha halisi ya watu hawa kiasi kwamba sasa hata kesho wakija kuomba ridhaa kwetu tunawafahamu.

Kupitia maandishi yao imenipa sababu ya kufaham kwanini wale wachache miongoni mwao wenye akili wanapambana kufa na kupona Mbowe aweze kuendelea kuongoza chama chao, na hii ni kwasababu Mbowe ni mtu Smart sana, kwanza sio wakuongea tu bila kujipanga, ni mtu anaweza zuia hisia, ni mtu ambae ana ile kitu naweza kusema "Leadership Ethics).

Sasa kwa sifa za hao wengine ukimlinganisha na huyu mwamba iko sababu kubwa ya yeye kuendelea kuongoza hicho chama kwakua wenye akili walishaona hao wengine ni wanaharakati wanaojificha ktk mwamvuli wa chama.

Katika hali ya kawaida kwa mwanasiasa kijana na aliekomaa hata afe adui yako alieua familia yako yote unatakiwa kuwa smart sana kuchagua maneno yapi ya kutumia (uchaguzi wa lugha), vinginevyo unaweza kuanika tabia yako halisia na ujinga wako wote na watu walafaham madhaifu yako kitu ambacho kisiasa ni kitu mbaya.

Mbowe namkubali sana, una tabia za kiuongozi. Big up Big brother Mbowe!
What? Kuheshimu maiti ya mtu muuaji? Huo ni utamuduni wa kishenzi sana. Hebu vaa viatu vya Lissu wewe uone.
1. Unamiminiwa magazine nzima ya risasi ili ufe lakini Mungu mkubwa unapona japo kwa kujeruhiwa sana
2. Watu wanataka kukuombea wanakatazwa.
3. Unanyimwa fedha za matibabu ambazo ni haki yako
4. Unanyanganywa ubunge bila kufuata taratibu
5. Unagombea urais kura zako zinaporwa huku ukipewa kejeli
6. Unaviziwa kuuawa mara ya pili mpaka unakimbilia uhamishoni
Nasemaje, kwanza Lissu ana heshima sana. Ingekuwa mtu mwingine angefanya shehere kubwa tena airushe live!
Hebu tuache unafiki. Muuaji kafa mwacha Lissu apumue.
 
Lissu ni taka taka tu.Bitternes within him ina m consume severelly mpaka ana lose mental controll
 
Lisu analiwa 071 kwa malipo ya kupewa bando la kupost mitandaoni na mabeberu.
Unampiga risasi 30+ Lissu lakini anabaki anapumua na furaha tele.

Wewe unabanwa ushuzi.. ile kujamba tu unapitiliza hadi futi 6.

Mungu sio SINDE WARYOBA
 
Hakuna cha wakati , mpuuzi wewe huyo mzoga wenu pelekeni chato no body gives a **** about it ,
Kama unavyotom*wa na hao Chadema WA mtandaoni
Siku nikiandika comment ukanielewa nitajilaani mpaka naingia kaburini, umekimbia shule kuja kutapikia watu makande huku, stupid idiot.
 
Tatizo Ni KWAMBA katika mazingira utakayoona yanakufaa utamshambulia sana huyo hiyo Mbowe kwa kumuita DJ au Form 4 failure...Shida yetu ni unafiki uliopitiliza...Hakuna anaetaka Mtu afe hasa mtu kama Magufuli aliejitoa sana kwa nchi hii .Ni mhimu kurudi nyuma kujijenga upya nchi yetu kimtazamo na imani ya kupendana na kujaliana.
 
Mtoa mada unachukia watu kufurahi.... Msemo wa kitambo walisema KUTESA KWA ZAMU
 
Back
Top Bottom