Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,741
- 7,679
Hakuna mtu wa namna hiyo tena. Jiwe pekee ndiye aliyekuwa na roho ya kikatili ya namna hiyo.Nnaona wakosa akili wameendelea kujitokeza, lkn nnawakumbusha akumulikae mchana, usiku hukuunguza, yaani kama mtu unaweza hadharani kusherekea kifo cha mtu eti kisa tu unamchukia, siku ukipewa mabunduki yote, vifaru, mabomu na deraya utamaliza wale usiokubaliana nao.
Mtaendelea kumshambulia Mh Lissu lkn hamtofanikiwa kwani maisha yake yako mikononi mwa Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi.
Kwanini mnatumia nguvu nyingi kumpatanisha Mh Lissu na Mtu ambaye tayari ni Mfu?? Kwanini hamkuhangaika wakati wa uhai wake kuwapatanisha?? Hivi sasa anaeweza kuwapatanisha ni Mungu pekee kwani ni yeye aliyewaumba.