Msichana aliye tayari kuolewa anahitajika

Msichana aliye tayari kuolewa anahitajika

ukipata wawili nipasie mmoja mkuu, kila la kheri.
 
Ndiyomaana uzi haujafaulu hata kufikisha comments 40 tu zaidi ya siku 3 zote tangu uweke hili tangazo lako.

Kwanini ushindwe kujitawala hasira zisizo na kichwa wala miguu? Na ulaaniwe kwa kuendelea kusota hivyo hivyo hadi utapojitambua.
Kwani wewe unaishi humu? Si unaishi mtaani? Sasa kwann hutaki mamako wa mtaani akutane nami kupitia jukwaa hili? Achana na akili za ujima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom