Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha Seema wewe mzinguaji Sana.Ndio waanaoharibu sasa tunapoteza bahat za kulala Morena hotel na mapedesheee kama nyieeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafupi tumekukosea nini?Mimi ninalo, so tunafanyaje? kikubwa usiwe mfupi tu.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Ndio maana mimi huwa nawala tu ndotoni, sitaki stress kama hizi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Si unajua mm mwenyewe naendeshwa kwenye gar za serikali alafu nipate bwana hana gar mbn nitateseka
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nitamkopesha vx ili ukiolewa uanze ndoa yenye madeniSitak nataka gar ya kwetu tutakayotumia kwa ajili ya usafir masuala ya bodaboda sitak
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe unaishi humu? Si unaishi mtaani? Sasa kwann hutaki mamako wa mtaani akutane nami kupitia jukwaa hili? Achana na akili za ujima.
wewe fundi?
Hahahaha Seema wewe mzinguaji Sana.
Yaani wewe unataka kufamiana na Zero IQ tu..
Ndio maana mimi huwa nawala tu ndotoni, sitaki stress kama hizi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo Mimi
Basi nitamkopesha vx ili ukiolewa uanze ndoa yenye madeni