Walimu wa dar wanaweka? Mwalimu na marangi mengi kichwani huku mkoani ni nongwa.Kwa ushauri mwambie huyo jirani niliyemkuta anakuhudumia aweke bleach kama upendavyo.Mi mpitaji tuNitapenda kukuona ukiwa na bleach...
katikati bleach alafu pembeni zinakua nyeusi, napenda mwanamke awe hivyo...
Usikasirike jirani... Hahahah...Walimu wa dar wanaweka? Mwalimu na marangi mengi kichwani huku mkoani ni nongwa.Kwa ushauri mwambie huyo jirani niliyemkuta anakuhudumia aweke bleach kama upendavyo.Mi mpitaji tu
Wewe kweli wa Manzese. Hizi tips ndio zenyewe hiziFanya upuuzi wote ukikutana nao ila epuka haya
Usimkaribishe ghetto kwako maana kama ni pazuri ataanza kuamia taratibu taratibu na akikuona unajiweza vizuri anakuwa king'ang'anizi hakuachi ng'o na atakuwa anakuja bila taarifa na kuachana kwake ni vita maana nao wanapenda kuwekwa ndani
Usithubutu kula kavu
Either hapa ukaambukiza magonjwa japo kuupata ukimwi inaweza ikawa ni ngumu kidogo ila ukila tgo ishakula kwako ,pia wanakutegeshea mimba kutafuta unafuu wa maisha pia hawakawii kukutengenezea mimba feki wakuchomoe hela baadae wakwambie imeharibika
Usijieleze undani wako
Ndugu zangu namaanisha kabila lako majina yako jina la mama ndugu zako walipotoka maana ukisikia kutengenezwa kwa ndumba ndio huko au kama ndugu wapo karibu na ndio kakuelewa basi watajitambulisha maksudi akijua rafiki zako mbona watamfahamu tu kama ni Shemu na wahuni watakuona wa ajabu kula kitu kama hicho
Hakikisha unapafahamu kwao
Kiujanja janja bila hata yeye kujua na ajue unafahamu kwao hii kama itasaidia asikuletee balaa kama utamzingua
Usimuache ghetto pekee yake
Hapa sina maelezo marefu wahuni wanaelewa
Sawa jirani π€Usikasirike jirani... Hahahah...
Ukiwa likizo weka bleach... Mpaka likizo ikisha zitakua zishaota... hahaha
Ndiyo vinatrend kwa sasa[emoji23]Nimechekaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani mnunulie tu vyakushindia, huwa ni vizuri kama mtu hujisikii kubanwa ππ unakula hewa safi kabisa!the way nilivyowadharau wanawake wenye vikuku na vijora, ndivyo nilivyowadharau wanawake waimba taarabu. huwa naamini wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile, malaya, wachafu, wavivu, maneno meeengi ya kukujazia nzi, hawana elimu wala uwezo wa kufikiri zaidi ya kupenda ngono na kula ubwabwa tu. nyumbani kwangu mke wangu hana kijora na hawezi kununua kwasababu havipendi pia.
Mmmmh! Usiombe awe amevaa na miwaniKijora cha chuichui[emoji23]
Yaaan sijawahiii kuyapendaa kwa kweliiπ π π πNdiyo vinatrend kwa sasa[emoji23]
sasa hawa ndio ukikatiza karibu na mlango wa vyumbani kwao hakuna tofauti na mlango wa uwani. kwasababu haja kubwa chumba cha kulala (kitandani kwao) na chooni kuwepo ni kitu cha kawaida kwao. wasafii kumbe wanaingiliwa kiambaruti.Tuacheni na vikuku vyetu View attachment 2339077
Mambo mazito haya ππ Breach kuna vichwa zinapendeza , alafu unakuta kala t shirt moja matat, jeans moja imenyooka, alafu chini raba moja ya moto na kikuku chake cha gold kinang'aa nje pale kapaki Jeep Moja matata ya maroon.. Hao wanao kutana nao nao ni malaya hata wasipo tia breach bado wanaonekana malaya tu..Auntieee umepita huku Makiwendo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kukariri mkuusasa hawa ndio ukikatiza karibu na mlango wa vyumbani kwao hakuna tofauti na mlango wa uwani. kwasababu haja kubwa chumba cha kulala (kitandani kwao) na chooni kuwepo ni kitu cha kawaida kwao. wasafii kumbe wanaingiliwa kiambaruti.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja aje aione mama wa jeepMambo mazito haya [emoji1][emoji1] Breach kuna vichwa zinapendeza , alafu unakuta kala t shirt moja matat, jeans moja imenyooka, alafu chini raba moja ya moto na kikuku chake cha gold kinang'aa nje pale kapaki Jeep Moja matata ya maroon.. Hao wanao kutana nao nao ni malaya hata wasipo tia breach bado wanaonekana malaya tu..
πππ Kala na glass yake matata, tabasamu mwake mwake mwendo wa madaha sio kama bata.. hapo wanakutana na wapiga brech walio maliza mwendo tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja aje aione mama wa jeep