Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

Hizi komenti [emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]!!
 
Walimu wa dar wanaweka? Mwalimu na marangi mengi kichwani huku mkoani ni nongwa.Kwa ushauri mwambie huyo jirani niliyemkuta anakuhudumia aweke bleach kama upendavyo.Mi mpitaji tu
" Walimu wa Dar wanaweka?? Mwalimu na marangi mengi kichwani huku mikoami ni nongwa"

Mwisho wa kunukuu [emoji6]
 
hahahahaha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimefika saa hii Auntie..
Sasa tusifanye vitu tunapenda kwa kuogopa watatuonaje kweli?

Hebu hii iishe tukaweke nyingine Auntie.. Hatupangwingwi..[emoji3]
[emoji1787][emoji1787] Niko na huo mpango hizi nywele nyeusi hazinibariki kabisa acha niwwke curl halafu karangi kwa juu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimefika saa hii Auntie..
Sasa tusifanye vitu tunapenda kwa kuogopa watatuonaje kweli?

Hebu hii iishe tukaweke nyingine Auntie.. Hatupangwingwi..[emoji3]
hahahahahaha
 
hahahahaha.kwa huduma alizokupa.ili umuongeze nyingine za kuweka bleach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…