Askarimaji
JF-Expert Member
- Jan 28, 2016
- 276
- 692
Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba,
kwasababu msichana yoyote mwenye mwenendo na tabia nzuri huwa anaolewa mapema sana kuanzia miaka 18 mpaka 25.
Ikiwa umelelewa vizuri na wazazi wako, ikiwa wewe ni msichana uliyekwenye maadili mazuri basi wachumba wataanza kugonga hodi na kuleta posa nyumbani kwenu tangia ukiwa binti mdogo sana labda kusoma tu ndo kukuzuie kuolewa mapema sana,
Ikiwa wewe ni msichana uliyelelewa katika maadili basi utakuwa na jeuri ya kukataa baadhi ya posa zinazokuja nyumbani kwenu mfululizo kwa kigezo cha kusema wale hawajanivutia namsubili aje mwanaume wa aina ninayoitaka, na unakuwa na jeuri ya kukataa posa ata 5 ikija posa ya sita ya mvulana mrefu mweusi kama lilivyochaguo lako na hapo sasa ukaikubali na kuamua kuolewa na uyo.
Ila hawa wenzangu na mimi ambao tabia zao ni za hovyo anafikisha miaka 27 mpaka 30 nyumbani haijaja posa ata moja alafu yeye hajui tatizo liko wapi, ukikaa nae na kumuuliza anakwambia "ndoa ni riziki.... Mimi riziki yangu mungu bado hajanipangia"😂😅😅.
Mimi nakukumbusha badili huo mtazamo, mungu hapendi na amekataza zinaa... mungu anataka kila mja aingie katika ndoa haraka iwezekenavyo ili ajiepushe na zinaa, hivyo basi mungu hawezi kukuweka benchi usubiri riziki yako ya ndoa huku unafanya zinaa hovyo hovyo,
Bado haujaolewa kwasababu ya tabia zako mbovu, umefikisha umri mkubwa haujaolewa kaa chini tathmini juu ya tabia na mwenendo wako usiseme unasubiri riziki yako huku hautaki kubadilisha mwenendo wako