Msichana ukifika miaka 27 haujaolewa tafakari juu ya tabia zako wala sio riziki kama mnavyojidanganya

Msichana ukifika miaka 27 haujaolewa tafakari juu ya tabia zako wala sio riziki kama mnavyojidanganya

Tabia njema sura/umbo bovu
Hapa napo changamoto ila kutoboa kupo.

Tabia mbovu sura/umbo zuri
Hawa kuolewa ni dakika 0

Tabia mbovu sura/umbo bovu.
Tutaona sana nyuzi zako love connect.
 
1. Kazini. Hasa kazi zinazokukutanisha na wanaume single wenye kipato. Mfano mdada anaeajiliwa big four auditing firms ana nafasi kubwa ya kuolewa mapema kuliko mdada anaeajiriwa Tanesco office ya ndani ndani mfano mtera ama kidatu.

2. Events, mdada anaekuwepo kwenye events nyingi zenye wanaume wanaojielewa ana nafasi kubwa ya kuolewa mapema pia.

3. Circle yake.

4. Eneo la kuishi, mdada anaeishi eneo lenye wanaume wengi wanaojielewa.

5. Sehemu za ibada zenye waumini wengi
Hiyo namba moja uongo, ukija kwenye swala la ndoa mwanaume hatizami kipato na ukiona mwanamme anampenda demu sababu ya kipato chake huyo ni Marioo na siku hizi wapo kibao tena wengine wakiwaona aina hii ya wanawake ambao wana vipato na umri umeenda huingia kwa gia ya ndoa na mara nyingi demu hachomoi sababu anapresha ya kuolewa.

Mwanaume kamili akitaka kuoa cha kwanza anacho tizama,tabia njema,heshima,attitude hivi vitu wanawake wengi wasomi na wenye fedha hawana.Ndio mana kuolewa inakuwaga ngumu na hata wakiolewa hawadumu na hiki ndicho wanacho pitia wanawake wengi wa West,hata rate ya kuoana kwa hizi nchi imepungua na kuimpact rate ya kuzaliana.

Na hiyo ya tano siku hizi wasanii wapo kibao mbwa mwitu walio jificha kwenye vazi la kondoo,jichanganye then ndani ya ndoa anafungua makucha yake.
 
Hiyo namba moja uongo, ukija kwenye swala la ndoa mwanaume hatizami kipato na ukiona mwanamme anampenda demu sababu ya kipato chake huyo ni Marioo.

Mwanaume akitaka kuoa cha kwanza anacho tizama,tabia njema,heshima,attitude hivi vitu wanawake wengi wasomi na wenye fedha hawana.Ndio mana kuolewa inakuwaga ngumu na hata wakiolewa hawadumu na hiki ndicho wanacho pitia wanawake wengi wa West,hata rate ya kuoana kwa hizi nchi imepungua na kuimpact rate ya kuzaliana.

Na hiyo ya tano siku hizi wasanii wapo kibao mbwa mwitu walio jificha kwenye vazi la kondoo,jichanganye then ndani ya ndoa anafungua makucha yake.

Hakuna sehemu niliyotaja kipato, nimetaja location na kazi zinazofanya mdada akutane na wanaume wengi wanaojielewa. Nikaweka mfano wa wadada wa big four sababu kazi yao inawakutanisha na watu wanaojielewa wengi kila mara
 
Hakuna sehemu niliyotaja kipato, nimetaja location na kazi zinazofanya mdada akutane na wanaume wengi wanaojielewa. Nikaweka mfano wa wadada wa big four sababu kazi yao inawakutanisha na watu wanaojielewa wengi kila mara
Big four company KPMG, Deloitte,PwC nk ni taasisi zinazolipa vizuri, mimi nimejenga hoja juu ya kampuni zinazoenda na hizo. Kufanya kazi kwenye hizo kampuni sio kigezo cha kuolewa. Vigezo asilia ambavyo hufanya mwanaume kuoa tabia njema, heshima na attitude ya mwanamke kwa mmewe haijalishi upo kwenye big four au laah .Halafu hata huyo wa Tanesco uliye msema bado anaroom kubwa ya kuolewa ikiwa akiwa na tabia hizo tatu.
 
Big four company KPMG, Deloitte nk ni taasisi zinazolipa vizuri, mimi nimejenga hoja juu ya kampuni zinazoenda na hizo. Kufanya kazi kwenye hizo kampuni sio kigezo cha kuolewa. Vigezo asilia ambavyo hufanya mwanaume kuoa tabia njema, heshima na attitude ya mwanamke kwa mmewe haijalishi upo kwenye big four au laah .Halafu hata huyo wa Tanesco uliye msema bado anaroom kubwa ya kuolewa ikiwa akiwa na tabia hizo tatu.

Location, location, location ya kuonekana ndio factor kuu ya kitu kila kitu kuuzika haraka.

Hakuna sehemu nilipoongelea kipato.
 
Location, location, location ya kuonekana ndio factor kuu ya kitu kila kitu kuuzika haraka

Hakuna sehemu nilipoongelea kipato.
Kwa hiyo kufanya kazi kwenye hizo Big four ndio kigezo kimoja wapo cha kuolewa? Ila Tanesco sio ,kwa akili yako unazani wa Tanesco wanakutana na vishoka?

Mwanaume akiamua kufanya maamuzi ya kuoa haijalishi amemkuta mwanamke location ipi as long mwaname ana heshima, tabia njema na good attitude basi ana probability kubwa huyo mwanamke kuolewa.
 
Kwa hiyo kufanya kazi kwenye hizo Big four ndio kigezo kimoja wapo cha kuolewa? Ila Tanesco sio ,kwa akili yako unazani wa Tanesco wanakutana na vishoka?

Mwanaume akiamua kufanya maamuzi ya kuoa haijalishi amemkuta mwanamke location ipi as long mwaname ana heshima, tabia njema na good attitude basi ana probability kubwa huyo mwanamke kuolewa.

Unaelewa maana ya Tanesco office ya ndani ndani mfano mtera ama kidatu.?

Ama hukuona location nilizotaja hapo?
 
Unaelewa maana ya Tanesco office ya ndani ndani mfano mtera ama kidatu.?

Ama hukuona location nilizotaja hapo?
Kuna wadada wapo Mgodini,Kuna wadada wapo Tarura/Tanroad,Kuna wadada wapo UN hawakai maofisini wameolewa sembuse hao wa Kidatu na Mtera? Kuna wadada wapo huko Mtwara wanapo vuna gasi wameolewa.

Kama huna tabia njema,heshima na attitude yako ikiwa mbaya,haijalishi upo location ipi probability ya kuolewa itakuwa ndogo na hata ukiolewa ndoa haito dumu.
 
Mi nilichokigundua kwa wale nilionao karibu wengi wanaangalia muonekano wa mtu na pesa.

Ikitokea anataka kuolewa na asiye hivyo basi lazima wawatolee nje huku wakisahau kuwa umri unakwenda.
Hiyo paragraph ya kwanza ni kweli ,siku hizi wengine hata muonekanao hawana time nao. Wanacho tizama ni hela na wadada wanapigwa sana, silaha yao kubwa ni mwonekano na unazifu wa mavazi basi,swala la kuhonga kwao ni chungu.
 
Hujafanya utafiti wa kutosha! Wengine wanaogopa kuolewa kwa sababu wakiona au kusikia yale ambayo waliotangulia kuolewa wanatendwa kwenye ndoa wanaogopa.
Wengine hawana haraka na maisha!
Wengine bado wanasoma!
Wengine wako tayari kuolewa lakini hawajapata wa kuwaoa (hili kundi ni wengi)!
Wengine wanakataa masharti ya wanaume kutaka wakubali kufanya tendo la ndoa kabla ya kuolewa-kuhofia kupewa mimba harafu kuachwa.
Mwisho,kwa kizazi cha sasa,hakuna ndoa halisi! Wanafunga ndoa kesho wanaachana! Ni disaster-chanzo kingine cha single moms.
 
Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba,

kwasababu msichana yoyote mwenye mwenendo na tabia nzuri huwa anaolewa mapema sana kuanzia miaka 18 mpaka 25.


Ikiwa umelelewa vizuri na wazazi wako, ikiwa wewe ni msichana uliyekwenye maadili mazuri basi wachumba wataanza kugonga hodi na kuleta posa nyumbani kwenu tangia ukiwa binti mdogo sana labda kusoma tu ndo kukuzuie kuolewa mapema sana,

Ikiwa wewe ni msichana uliyelelewa katika maadili basi utakuwa na jeuri ya kukataa baadhi ya posa zinazokuja nyumbani kwenu mfululizo kwa kigezo cha kusema wale hawajanivutia namsubili aje mwanaume wa aina ninayoitaka, na unakuwa na jeuri ya kukataa posa ata 5 ikija posa ya sita ya mvulana mrefu mweusi kama lilivyochaguo lako na hapo sasa ukaikubali na kuamua kuolewa na uyo.

Ila hawa wenzangu na mimi ambao tabia zao ni za hovyo anafikisha miaka 27 mpaka 30 nyumbani haijaja posa ata moja alafu yeye hajui tatizo liko wapi, ukikaa nae na kumuuliza anakwambia "ndoa ni riziki.... Mimi riziki yangu mungu bado hajanipangia"😂😅😅.



Mimi nakukumbusha badili huo mtazamo, mungu hapendi na amekataza zinaa... mungu anataka kila mja aingie katika ndoa haraka iwezekenavyo ili ajiepushe na zinaa, hivyo basi mungu hawezi kukuweka benchi usubiri riziki yako ya ndoa huku unafanya zinaa hovyo hovyo,

Bado haujaolewa kwasababu ya tabia zako mbovu, umefikisha umri mkubwa haujaolewa kaa chini tathmini juu ya tabia na mwenendo wako usiseme unasubiri riziki yako huku hautaki kubadilisha mwenendo wako
Wengine sura zao na maumbo yanawaponza! tabia nzuri tu
 
Back
Top Bottom