Hujaolewa mpaka sasa? Uko miaka 30?
Well saidKwani kuoa au kuolewa ni lazima? Kwa nyakati hizi kuoa au kuolewa ni kujifupishia maisha
Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba,
kwasababu msichana yoyote mwenye mwenendo na tabia nzuri huwa anaolewa mapema sana kuanzia miaka 18 mpaka 25.
Ikiwa umelelewa vizuri na wazazi wako, ikiwa wewe ni msichana uliyekwenye maadili mazuri basi wachumba wataanza kugonga hodi na kuleta posa nyumbani kwenu tangia ukiwa binti mdogo sana labda kusoma tu ndo kukuzuie kuolewa mapema sana,
Ikiwa wewe ni msichana uliyelelewa katika maadili basi utakuwa na jeuri ya kukataa baadhi ya posa zinazokuja nyumbani kwenu mfululizo kwa kigezo cha kusema wale hawajanivutia namsubili aje mwanaume wa aina ninayoitaka, na unakuwa na jeuri ya kukataa posa ata 5 ikija posa ya sita ya mvulana mrefu mweusi kama lilivyochaguo lako na hapo sasa ukaikubali na kuamua kuolewa na uyo.
Ila hawa wenzangu na mimi ambao tabia zao ni za hovyo anafikisha miaka 27 mpaka 30 nyumbani haijaja posa ata moja alafu yeye hajui tatizo liko wapi, ukikaa nae na kumuuliza anakwambia "ndoa ni riziki.... Mimi riziki yangu mungu bado hajanipangia"😂😅😅.
Mimi nakukumbusha badili huo mtazamo, mungu hapendi na amekataza zinaa... mungu anataka kila mja aingie katika ndoa haraka iwezekenavyo ili ajiepushe na zinaa, hivyo basi mungu hawezi kukuweka benchi usubiri riziki yako ya ndoa huku unafanya zinaa hovyo hovyo,
Bado haujaolewa kwasababu ya tabia zako mbovu, umefikisha umri mkubwa haujaolewa kaa chini tathmini juu ya tabia na mwenendo wako usiseme unasubiri riziki yako huku hautaki kubadilisha mwenendo wako
Inakuwaje 27yrs awe msichana wakati hadi SGR imepita shwaaaaaa.......Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba,
kwasababu msichana yoyote mwenye mwenendo na tabia nzuri huwa anaolewa mapema sana kuanzia miaka 18 mpaka 25.
Ikiwa umelelewa vizuri na wazazi wako, ikiwa wewe ni msichana uliyekwenye maadili mazuri basi wachumba wataanza kugonga hodi na kuleta posa nyumbani kwenu tangia ukiwa binti mdogo sana labda kusoma tu ndo kukuzuie kuolewa mapema sana,
Ikiwa wewe ni msichana uliyelelewa katika maadili basi utakuwa na jeuri ya kukataa baadhi ya posa zinazokuja nyumbani kwenu mfululizo kwa kigezo cha kusema wale hawajanivutia namsubili aje mwanaume wa aina ninayoitaka, na unakuwa na jeuri ya kukataa posa ata 5 ikija posa ya sita ya mvulana mrefu mweusi kama lilivyochaguo lako na hapo sasa ukaikubali na kuamua kuolewa na uyo.
Ila hawa wenzangu na mimi ambao tabia zao ni za hovyo anafikisha miaka 27 mpaka 30 nyumbani haijaja posa ata moja alafu yeye hajui tatizo liko wapi, ukikaa nae na kumuuliza anakwambia "ndoa ni riziki.... Mimi riziki yangu mungu bado hajanipangia"😂😅😅.
Mimi nakukumbusha badili huo mtazamo, mungu hapendi na amekataza zinaa... mungu anataka kila mja aingie katika ndoa haraka iwezekenavyo ili ajiepushe na zinaa, hivyo basi mungu hawezi kukuweka benchi usubiri riziki yako ya ndoa huku unafanya zinaa hovyo hovyo,
Bado haujaolewa kwasababu ya tabia zako mbovu, umefikisha umri mkubwa haujaolewa kaa chini tathmini juu ya tabia na mwenendo wako usiseme unasubiri riziki yako huku hautaki kubadilisha mwenendo wako
Bila shaka wamekusikia,watafanyia kazi ushauri wako.Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba,
kwasababu msichana yoyote mwenye mwenendo na tabia nzuri huwa anaolewa mapema sana kuanzia miaka 18 mpaka 25.
Ikiwa umelelewa vizuri na wazazi wako, ikiwa wewe ni msichana uliyekwenye maadili mazuri basi wachumba wataanza kugonga hodi na kuleta posa nyumbani kwenu tangia ukiwa binti mdogo sana labda kusoma tu ndo kukuzuie kuolewa mapema sana,
Ikiwa wewe ni msichana uliyelelewa katika maadili basi utakuwa na jeuri ya kukataa baadhi ya posa zinazokuja nyumbani kwenu mfululizo kwa kigezo cha kusema wale hawajanivutia namsubili aje mwanaume wa aina ninayoitaka, na unakuwa na jeuri ya kukataa posa ata 5 ikija posa ya sita ya mvulana mrefu mweusi kama lilivyochaguo lako na hapo sasa ukaikubali na kuamua kuolewa na uyo.
Ila hawa wenzangu na mimi ambao tabia zao ni za hovyo anafikisha miaka 27 mpaka 30 nyumbani haijaja posa ata moja alafu yeye hajui tatizo liko wapi, ukikaa nae na kumuuliza anakwambia "ndoa ni riziki.... Mimi riziki yangu mungu bado hajanipangia"😂😅😅.
Mimi nakukumbusha badili huo mtazamo, mungu hapendi na amekataza zinaa... mungu anataka kila mja aingie katika ndoa haraka iwezekenavyo ili ajiepushe na zinaa, hivyo basi mungu hawezi kukuweka benchi usubiri riziki yako ya ndoa huku unafanya zinaa hovyo hovyo,
Bado haujaolewa kwasababu ya tabia zako mbovu, umefikisha umri mkubwa haujaolewa kaa chini tathmini juu ya tabia na mwenendo wako usiseme unasubiri riziki yako huku hautaki kubadilisha mwenendo wako
Kuna bibi mmoja aliwaroga wajukuu zake wasiolewe, hapo napi vipi? Jamii itafakari hilo pia, sio kwamba wengine wanakataa kuolewa kumbe ni mambo ya familia yao.Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba,
kwasababu msichana yoyote mwenye mwenendo na tabia nzuri huwa anaolewa mapema sana kuanzia miaka 18 mpaka 25.
Ikiwa umelelewa vizuri na wazazi wako, ikiwa wewe ni msichana uliyekwenye maadili mazuri basi wachumba wataanza kugonga hodi na kuleta posa nyumbani kwenu tangia ukiwa binti mdogo sana labda kusoma tu ndo kukuzuie kuolewa mapema sana,
Ikiwa wewe ni msichana uliyelelewa katika maadili basi utakuwa na jeuri ya kukataa baadhi ya posa zinazokuja nyumbani kwenu mfululizo kwa kigezo cha kusema wale hawajanivutia namsubili aje mwanaume wa aina ninayoitaka, na unakuwa na jeuri ya kukataa posa ata 5 ikija posa ya sita ya mvulana mrefu mweusi kama lilivyochaguo lako na hapo sasa ukaikubali na kuamua kuolewa na uyo.
Ila hawa wenzangu na mimi ambao tabia zao ni za hovyo anafikisha miaka 27 mpaka 30 nyumbani haijaja posa ata moja alafu yeye hajui tatizo liko wapi, ukikaa nae na kumuuliza anakwambia "ndoa ni riziki.... Mimi riziki yangu mungu bado hajanipangia"😂😅😅.
Mimi nakukumbusha badili huo mtazamo, mungu hapendi na amekataza zinaa... mungu anataka kila mja aingie katika ndoa haraka iwezekenavyo ili ajiepushe na zinaa, hivyo basi mungu hawezi kukuweka benchi usubiri riziki yako ya ndoa huku unafanya zinaa hovyo hovyo,
Bado haujaolewa kwasababu ya tabia zako mbovu, umefikisha umri mkubwa haujaolewa kaa chini tathmini juu ya tabia na mwenendo wako usiseme unasubiri riziki yako huku hautaki kubadilisha mwenendo wako
Usitupee pressure
Lakini kilometa laki tatu na (30+) na hajaolewa kwa kizazi hichi 99.999% shida ni kwa mwanamkeHayo mambo ni kuyaacha kama yalivyo tu.Sio wote walioolewa wanatabia njema [Ndo maana ndoa zina changamoto nyingi tu], na sio wote ambao hawaolewa wanatabia Mbaya. Sometikes ni NATURE tu inachukua mkondo wake.
Life start at 40 bado mdogo sana, sema ukisikiliza matarajio ya wengi unaweza kuona kama unapitwa.
Ukiachana na sentensi yako ya mwisho. Huko juu paragraph ya kwanza na ya pili ndo umezungumza moja ya sababu kuu zaidi ya mabinti wa sasa kutoolewa. Historia chafu.Historia yake inaweza ikasaidia kuolewa haraka au kutoolewa, mfano mtaaani kwako unajulikana kwa tabia zako za kudanga, kazini kwako una sifa hizo hizo, chakula Cha mabosi nani akuoe.
Binti ukitaka kuolewa jitunze. Na kama historia yako ni mbovu hama mji, ukaonekane mpya sehemu nyingine . ingawa sikuhizi tunachunguza sana,. huenda ukabahatisha atakaye fumba macho au mwenye tabia kama zako.
.KIKUBWA KUOLEWA SIO Sheria ni utamaduni tu, bint tafuta pesa kula misha
Anakupotea muda tu huyo, mwanaume anatazama zaidi mwenendo wa maisha ya mwanamke, heshima na tabia njema unless hajawahi kuona wanawake wenye heshima na tabia njema ndo maana hazungumzii hilo eneo.Kuna wadada wapo Mgodini,Kuna wadada wapo Tarura/Tanroad,Kuna wadada wapo UN hawakai maofisini wameolewa sembuse hao wa Kidatu na Mtera? Kuna wadada wapo huko Mtwara wanapo vuna gasi wameolewa.
Kama huna tabia njema,heshima na attitude yako ikiwa mbaya,haijalishi upo location ipi probability ya kuolewa itakuwa ndogo na hata ukiolewa ndoa haito dumu.
Upo sahihi mkuu, hao inatokea wanatembea na wanaume za watu wenye ela, wanasahau kwamba hao waume za watu walikuwa na wanawake zao ambao waliwavumilia ktk kujitafuta kwao.Mi nilichokigundua kwa wale nilionao karibu wengi wanaangalia muonekano wa mtu na pesa.
Ikitokea anataka kuolewa na asiye hivyo basi lazima wawatolee nje huku wakisahau kuwa umri unakwenda.
Bahati = Maandalizi + Fursa.Kuolewa ni bahati kuzaa ni majahaliwa
Huu msemo tafakari sana, ufikiri kwa makini sana. Kuna watu wana tabia njema na wala hawajaolewa, hata kuna wanaume pia umri umeenda na bado hajaoa
Kuoa au kuolewa si jambo la bahati kwa kila mtu. Ni bahati nasibu kubwa sana kumbuka hilo
Marriages are born out of love and not desperation or custom. Love your spouse, then you love your kids. No love no happy marriage. .
Mparee2 umeongea ukweli ni bahat tu kuna mademu wana heshima Ila hawajaolewa hata ww una mifano hai ndo maan ukasema ni babati.Kama Waislam hawataongeza kasi ya kuoa mke zaidi ya mmoja, ina maana kuna wanawake zaidi Milioni 20 duniani wataishi maisha yao yote bila kuolewa
Kwa maana hiyo usiwanyanyapae wanawake wakati wewe mwenyewe unaoa mke mmoja; hao wengine unataraji waolewe na nani?
Kuolewa ni bahati na wala sio suala la miaka!
Lakini kilometa laki tatu na (30+) na hajaolewa kwa kizazi hichi 99.999% shida ni kwa mwanamke