Msichana ukifika miaka 27 haujaolewa tafakari juu ya tabia zako wala sio riziki kama mnavyojidanganya


Kama Waislam hawataongeza kasi ya kuoa mke zaidi ya mmoja, ina maana kuna wanawake zaidi Milioni 20 duniani wataishi maisha yao yote bila kuolewa
Kwa maana hiyo usiwanyanyapae wanawake wakati wewe mwenyewe unaoa mke mmoja; hao wengine waolewe na nani? Kuolewa ni bahati na wala sio suala la miaka!
 
Inakuwaje 27yrs awe msichana wakati hadi SGR imepita shwaaaaaa.......
 
Bila shaka wamekusikia,watafanyia kazi ushauri wako.
 
Kuna bibi mmoja aliwaroga wajukuu zake wasiolewe, hapo napi vipi? Jamii itafakari hilo pia, sio kwamba wengine wanakataa kuolewa kumbe ni mambo ya familia yao.
Usitupee pressure
 
Hayo mambo ni kuyaacha kama yalivyo tu.Sio wote walioolewa wanatabia njema [Ndo maana ndoa zina changamoto nyingi tu], na sio wote ambao hawaolewa wanatabia Mbaya. Sometikes ni NATURE tu inachukua mkondo wake.
Lakini kilometa laki tatu na (30+) na hajaolewa kwa kizazi hichi 99.999% shida ni kwa mwanamke
 
Ukiachana na sentensi yako ya mwisho. Huko juu paragraph ya kwanza na ya pili ndo umezungumza moja ya sababu kuu zaidi ya mabinti wa sasa kutoolewa. Historia chafu.
 
Anakupotea muda tu huyo, mwanaume anatazama zaidi mwenendo wa maisha ya mwanamke, heshima na tabia njema unless hajawahi kuona wanawake wenye heshima na tabia njema ndo maana hazungumzii hilo eneo.
 
Mi nilichokigundua kwa wale nilionao karibu wengi wanaangalia muonekano wa mtu na pesa.

Ikitokea anataka kuolewa na asiye hivyo basi lazima wawatolee nje huku wakisahau kuwa umri unakwenda.
Upo sahihi mkuu, hao inatokea wanatembea na wanaume za watu wenye ela, wanasahau kwamba hao waume za watu walikuwa na wanawake zao ambao waliwavumilia ktk kujitafuta kwao.
 
Bahati = Maandalizi + Fursa.

Wengi wao wanakutana na fursa ila maandalizi huwa ni zero matokeo yake ni kukosa bahati.

Mtoto wa kike anatakiwa kuwa na maandali kama:

1. Atunze bikra yake na mwili wake uwe sio wa kuguswa na wanaume.

2. Ajifunze lugha nzuri na ulimi wa upole. Bikra na tabia mbaya ni combination mbaya sana haviendi pamoja na hakuna faida ya kuwa bikra huku tabia ni za hovyo.
 
Mparee2 umeongea ukweli ni bahat tu kuna mademu wana heshima Ila hawajaolewa hata ww una mifano hai ndo maan ukasema ni babati.

Kuna wengine ni Malaya mbwa Ila wameolewa.
 
Lakini kilometa laki tatu na (30+) na hajaolewa kwa kizazi hichi 99.999% shida ni kwa mwanamke

Kama Waislam hawataongeza kasi ya kuoa mke zaidi ya mmoja, ina maana kuna wanawake zaidi Milioni 20 duniani wataishi maisha yao yote bila kuolewa
Kwa maana hiyo usiwanyanyapae wanawake wakati wewe mwenyewe unaoa mke mmoja; hao wengine waolewe na nani? Kuolewa ni bahati na wala sio suala la miaka!
 
Hayo mambo hayana formula mzee, ingekua ni hivyo basi malaya wanao kodisha wasingekua wanaolewa kabisa, waache kwanza waendelee kutugawia usi waharakishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…