Bexb
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 715
- 1,619
Ningekua ni moderator ningehakikisha kila mwanamke anayesoma huu uzi aisome kwanza hii comment yako.Huu ushauri sio mzuri na sina uhakika kama unatoka kwa mtu aliye ndani ya Ndoa yenye utulivu na mwendo wa kueleweka.
Kimsingi uliyosema ni mambo yenye utata sana. Ngoja nikuulize maswali ndugu, sorry kama nitakukwaza ila ndio honest conversation ilivyo.
1. What is more into life nje ya marriage?! Sababu hapa hatuzungumzii maisha ya career tunazungumzia familia. So familia inazuia mtu kufanya mambo yake na mwisho wa siku hayo mambo si tunafanya ili tuwekeze kwenye familia au?!
2. Umesema insurance ya mwanamke ni money, so unataka nambia akina Oprah Winfrey, Jlo, Celine Dion etc wanaingia kwenye ndoa kutafuta nini na pesa wanayo?! Hivi kweli wewe ndoa unaielewa maana yake na maudhui yake?!
3. So unataka kuuaminisha uma au jamii hii kuwa wanawake kuingia katika ndoa ni suicide mission kwamba akiingia hizo vitu zote hawezi fanya na hatotakiwa kufanya?! Kwahiyo unataka nambia hawa wadada wote walioajiriwa, wanaofanya baishara huko mijini na mitaani woooooote hawa hawana ndoa wala hawana wanaume wanaoishi nao nyumba moja?!
4. Kama "Money is always a woman's insurance" je anaingia katika ndoa kutafuta nini?! Utapenda ukiwa na mtoto wa kiume aoe mwanamke mwenye mentality ya kutaka pesa tu kwenye mahusiano yao ?!
So kama hiyo ndio ajenda ya mwanamke, je ya mwanaume ni ipi katika ndoa, je wanaume insurance yao ni ipi?!
5. Unaweza nambie dreams za mwanamke ni zipi?! Maana wanawake wa kisasa m'mekuwa intoxicated na kiwa poisoned na Westworld feminists ideologies.
Kama mwanaume ndoto zake ni asome kwa bidii, apate kazi nzuri na kuwa na kipato kizuri kisha kutafuta pisi kali aoe wajenge familia na kujenga life pamoja, ndoto ya mwanamke ni ipi?!
Utasikia travel the world, huko kutravel huwezo travel na familia yako ya mume na watoto, au ndio umalaya unaenda huko huna mume kuvizia wale mabeach boy ambayo kazi yao kuwapakaza mashahawa tu ya umalaya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pumbavu sana nyie.
Mimi mafeminist wa kisasa tena nyie wanawake huwa nawaona zero brain sana. Yaani mnakosa direction ya maisha kazi yenu ni kupropagate mambo na kukosa hoja za msingi. Mnakalia ubinafsi tu.
Simply, SUPERB!!!🤝🤝🤝🤝