Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

Sisi ndo tunaowapeleka watoto wa kike kuwa na hiyo mentality.

There is more to life than just marriage. Am a strong advocate of marriage having been married myself lakini I never throw stones at single moms or people who have opted not to get married.

Napenda msichana awe focused, alinde usichana wake, na heshima yake. Asome au afanye biashara ajijenge kiakili na kifedha halafu aingie kwenye ndoa akiwa stable upstairs and pocketwise.

Money is always a woman's insurance.

Wadada jijengeni. Travel the world..... Soar as high as you can. Marriage shouldn't be the end of your dreams.
Huu ushauri sio mzuri na sina uhakika kama unatoka kwa mtu aliye ndani ya Ndoa yenye utulivu na mwendo wa kueleweka.

Kimsingi uliyosema ni mambo yenye utata sana. Ngoja nikuulize maswali ndugu, sorry kama nitakukwaza ila ndio honest conversation ilivyo.

1. What is more into life nje ya marriage?! Sababu hapa hatuzungumzii maisha ya career tunazungumzia familia. So familia inazuia mtu kufanya mambo yake na mwisho wa siku hayo mambo si tunafanya ili tuwekeze kwenye familia au?!

2. Umesema insurance ya mwanamke ni money, so unataka nambia akina Oprah Winfrey, Jlo, Celine Dion etc wanaingia kwenye ndoa kutafuta nini na pesa wanayo?! Hivi kweli wewe ndoa unaielewa maana yake na maudhui yake?!

3. So unataka kuuaminisha uma au jamii hii kuwa wanawake kuingia katika ndoa ni suicide mission kwamba akiingia hizo vitu zote hawezi fanya na hatotakiwa kufanya?! Kwahiyo unataka nambia hawa wadada wote walioajiriwa, wanaofanya baishara huko mijini na mitaani woooooote hawa hawana ndoa wala hawana wanaume wanaoishi nao nyumba moja?!

4. Kama "Money is always a woman's insurance" je anaingia katika ndoa kutafuta nini?! Utapenda ukiwa na mtoto wa kiume aoe mwanamke mwenye mentality ya kutaka pesa tu kwenye mahusiano yao ?!

So kama hiyo ndio ajenda ya mwanamke, je ya mwanaume ni ipi katika ndoa, je wanaume insurance yao ni ipi?!

5. Unaweza nambie dreams za mwanamke ni zipi?! Maana wanawake wa kisasa m'mekuwa intoxicated na kiwa poisoned na Westworld feminists ideologies.

Kama mwanaume ndoto zake ni asome kwa bidii, apate kazi nzuri na kuwa na kipato kizuri kisha kutafuta pisi kali aoe wajenge familia na kujenga life pamoja, ndoto ya mwanamke ni ipi?!

Utasikia travel the world, huko kutravel huwezo travel na familia yako ya mume na watoto, au ndio umalaya unaenda huko huna mume kuvizia wale mabeach boy ambayo kazi yao kuwapakaza mashahawa tu ya umalaya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pumbavu sana nyie.

Mimi mafeminist wa kisasa tena nyie wanawake huwa nawaona zero brain sana. Yaani mnakosa direction ya maisha kazi yenu ni kupropagate mambo na kukosa hoja za msingi. Mnakalia ubinafsi tu.
 
ukionaje kaolewe wewe sasa mleta mada kama unaona wana faidi sana wakiolewa
 
Hodi humu jamvini wana MMU,

Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Najua mnahangaika na utafutaji wa maji na mkate kwa familia wakati huu.

Kwa sababu ya suala la kuolewa kuwa gumu siku hizi binti akiolewa anajiona kama amepata degree (Hons) ya first class. Siyo siri ukimpa uchaguzi binti yako kama umlipie fedha asome degree yoyote au aolewe, bila kuchelewa wala kupepesa macho atachagua kuoelewa. Hasa ikiwa huyo mwanaume anayemchumbia ni mtoto wa kishua, utakuta amejiozesha mwenyewe bila mahari!

View attachment 2412373

Juzi nilikuwa natatua kesi ya binti wa kidato cha III mwenye umri wa miaka 17 aliyeamka usiku wa saa 5 na kumfuata mwanaume mwenye umri wa miaka 23 mtaa wa pili. Huyu binti anaishi na mama wa kambo anayefanya kazi baa. Kwa kawaida, mama hurudi kutoka kazini kuanzia saa 7 usiku. Sasa siku hiyo mama alirudi mapema kabla ya saa 7 akakuta binti ametoka. Arobaini za binti zikawa zimefika.

Huyu binti hulala chumba cha uani, hivyo nafikiri ulikuwa ndiyo mchezo wake wa kila siku. Dada yake aliacha shule akiwa Kidato cha II akaolewa na lofa mmoja asiyekuwa na mbele wala nyuma. Sasa hivi anajishughulisha na uuzaji wa mboga nyumba kwa nyumba. Mdogo wake naye anatamani kuacha shule akaolewe. Hajajifunza chochote kutokana na makosa ya dada yake. Wanawake wa kizazi hiki ni kama nyani, hawajatulia hata kidogo. Hivi nyie mabinti wa kisasa mna nini lakini?

Ndoa imekuwa kama kilele cha mafanikio ya msichana. Huu ukuta unahitaji kubomolewa, hili ni gereza la kuyafunga maono ya msichana. Kuolewa ni maono ya chini kabisa, msichana unaweza kuwa na ndoto kubwa zaidi ya hii; ota ndoto kubwa zaidi.
That's is true [emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Mateso ya kumeza ARV yasikie tu kwa mwenzako, unameza vidonge hadi unanuka mwili mzima!!

aisee ukimwi ni mateso, kama hujaambukizwa shukuru.
Mbona mie ninao mwaka wa 22 huu na nipo kamili kagodo na mbususu nazipelekea moto tuu
 
Of course mama yake ni PhD holder, humu ndani nyie kila siku huwa mnapiga mikelele ati mabinti wamezidi kuwaomba pesa. Leo hii wazazi tunajitahidi ili mabinti zetu wasiwe tegemezi (status) mnapinga, tuwaeleweje?

Of course, haikubaliki kuoa mwanamke ambaye anakuzidi umri, kipato au ilimu. Hivyo wakati mwingine mnajihami tu
Unampa mateso binti yako so mama yake ana PhD na yeye anatakiwa kuwa na PhD.....duu ,ila nina uhakika hata mama yake wakati ukimchumbia hakuwa na PhD,sasa sijajua kwa nini umeamua kuwa mbinafsi kwa kutompatia nafasi ambayo wakwe zako walikupa kwa mama yake.

Nina uhakika kama wakwe zako wangekuwa na misimamo kama yako leo hii husinge muoa mama yake.

Inawezekana wewe mwenyewe ukawa sehemu ya tatizo ya binti yako kutokuolewa na kuna uwezekano ana kuchukia kimoyomoyo japo haongei sababu ana kuheshim.

Na ukifanya masihala sababu ya mitizamo yako jamii inayo kuzunguka, wataamini unatoka na binti yako.
 
Nashukuru kwa maoni yako. Ila ungesoma mtiririko wa mjadala ungetambua kuwa binti alikataa pendekezo langu la kusoma PhD. Nami sikuwa na jinsi ya kufanya na sasa ni muumini mashuhuri wa mwamposa (kitu ambacho sikiamini).

Kwa kawaida naamini kama plan A imekata, yaani hadi 31 yrs hakuna muoaji anayeona anamfaa; Plan B ni kutumikia elimu kwanza ili angalau amalize masuala ya shule (no class ahead) ili akipata wa kumuoa iwe ni kazi moja ya kujenga familia. Ingawa na hii Plan B (wenye inferiority complex wanaipinga kama akina mzabzab etc; wapenda cheap Ks) bila shaka kuongeza elimu kunapandisha status na hapo kuna uwezekano mkubwa wa kupata wenye elimu kama yake au zaidi ingawa kusema za ukweli wengi hawatakuwa ni age mate wake.

Wengi anaoweza kufanikiwa kupata ni wale ambao wamefiliwa na wake zao au wametimuana na wake zao na uwezekano wa wanaume husika kuwa na wajukuu ni jambo la kawaida. Maisha hayana fomulae
 
Dah! Kweli mzabzab nimekuwa punching bag wa jf. Kila kibaya natolewa mfano mie tuu🤣🤣🤣🤣
Anyways yote maisha🤣🤣🤣
Wee bwana kama mtoto wako amesoma na anajielewa atapata tuu wanaume wasio na inferior complex. Sasa mie mzabzab nimeishia form 4 tena ya kuunga unga tutaongea nini na huyo mtoto wako mwenye masters? Mie story zangu zahusiana na mbususu na kama hivi kombe la dunia linaanza ni mwendo wa boli tuu.
Sio inferiority complex bro ni kwamba tunakuwa wakweli na kaenda na watu wa hadhi zetu. Sina certificate, diploma wala degree naanzaje kutamani mwanamke mwenye masters? That is just inane!
 
Hodi humu jamvini wana MMU,

Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Najua mnahangaika na utafutaji wa maji na mkate kwa familia wakati huu.

Kwa sababu ya suala la kuolewa kuwa gumu siku hizi binti akiolewa anajiona kama amepata degree (Hons) ya first class. Siyo siri ukimpa uchaguzi binti yako kama umlipie fedha asome degree yoyote au aolewe, bila kuchelewa wala kupepesa macho atachagua kuoelewa. Hasa ikiwa huyo mwanaume anayemchumbia ni mtoto wa kishua, utakuta amejiozesha mwenyewe bila mahari!

View attachment 2412373

Juzi nilikuwa natatua kesi ya binti wa kidato cha III mwenye umri wa miaka 17 aliyeamka usiku wa saa 5 na kumfuata mwanaume mwenye umri wa miaka 23 mtaa wa pili. Huyu binti anaishi na mama wa kambo anayefanya kazi baa. Kwa kawaida, mama hurudi kutoka kazini kuanzia saa 7 usiku. Sasa siku hiyo mama alirudi mapema kabla ya saa 7 akakuta binti ametoka. Arobaini za binti zikawa zimefika.

Huyu binti hulala chumba cha uani, hivyo nafikiri ulikuwa ndiyo mchezo wake wa kila siku. Dada yake aliacha shule akiwa Kidato cha II akaolewa na lofa mmoja asiyekuwa na mbele wala nyuma. Sasa hivi anajishughulisha na uuzaji wa mboga nyumba kwa nyumba. Mdogo wake naye anatamani kuacha shule akaolewe. Hajajifunza chochote kutokana na makosa ya dada yake. Wanawake wa kizazi hiki ni kama nyani, hawajatulia hata kidogo. Hivi nyie mabinti wa kisasa mna nini lakini?

Ndoa imekuwa kama kilele cha mafanikio ya msichana. Huu ukuta unahitaji kubomolewa, hili ni gereza la kuyafunga maono ya msichana. Kuolewa ni maono ya chini kabisa, msichana unaweza kuwa na ndoto kubwa zaidi ya hii; ota ndoto kubwa zaidi.
Kwani walikuomba ushauri?

Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri wasioombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyafahamu.

Yani unajipa umuhimu tu kushauri kwenye mambo ya watu ambao hujavaa viatu vyao.

Hujui huyo binti anayeishi na mama wa kambo baamedi anayerudi nyumbani saa saba usiku katika mazingira magumu ya Tanzania ana changamoto gani, unaishia kumlaumu tu wakati pengine yeye mwenyewe binti ni mhanga wa majanga mengi sana kuliko unavyoelewa wewe.
 
Sawa mkuu hapo umeeleweka, sasa fanya mpango uongee na mashangazi wamuulize binti kulikoni umri unasonga mboni kimya hakuna hata mwenzake nyumbani kuna shida gani?
Kweli kabisa mkuu itabidi afanye hivyo. Au kama binti ana tatizo la kimaumbile, aliweke wazi ili ndugu na wazazi wasiendelee kumshangaa kwanini anaozea nyumbani wakati elimu anayo (hata ng'ambo alienda akarudi).

Ndio maana leo kitu cha ajabu eti kuna mwanamke anaamini anaweza kuwa nje ya nyumba yake tokea saa 12 asubuhi hadi saa nne usiky halafu anaita yupo kwenye ndoa. Hapo unaishi kisela sio Ndoa.
Sasa kama huyo mwanamke ni mfanyakazi wa kazi ya shift na wakati mwingine anapiga double shift nini kifanyike mkuu? Au aache kazi ili atumikie ndoa vizuri?
 
Hujui huyo binti anayeishi na mama wa kambo baamedi anayerudi nyumbani saa saba usiku katika mazingira magumu ya Tanzania ana changamoto gani, unaishia kumlaumu tu wakati pengine yeye mwenyewe binti ni mhanga wa majanga mengi sana kuliko unavyoelewa wewe.
Sasa ndio achezee maisha yake ya shule kwa kutoka na mwanaume anayemzidi umri amwambukize ukimwi na mimba pamwe? Wewe unashauri nini mkuu?
 
Sasa ndio achezee maisha yake ya shule kwa kutoka na mwanaume anayemzidi umri amwambukize ukimwi na mimba pamwe? Wewe unashauri nini mkuu?
Bado hujajibu swali la msingi.

Akiamua kufanya hayo kwa sababu zozote, ama za ujinga wake mwenyewe, ama kwa yeye kukosa namna na kuwa muhanga wa mambo yaliyomzidi kimo.

Wewe inakuhusu nini?

Alikuomba ushauri?

Wewe mwenyewe una yako mangapi hujayamaliza na unaweza kujiongeza?

Umemaliza matatizo ya familia yako?

Kwa nini unapenda sana kujichomeka kwenye maisha ya watu ambao hata huwajui, kuwapa ushauri ambao hata hawajakuomba, katika mambo ambayo huyafahamu?

Why all this whataboutism?

Kwa nini inakuwa vigumu sana kwako kufuatilia hamsini zako na kuwaacha wengine waishi maisha yao walivyoamua kuishi wenyewe?
 
Marriege it's not an achievement its just a program. Hiyo ipo tu kila mtu ana muda wake si kitu chakukaa mbele yetu ukakiongelea kwamba ni mafanikio.
 
Sisi ndo tunaowapeleka watoto wa kike kuwa na hiyo mentality.

There is more to life than just marriage. Am a strong advocate of marriage having been married myself lakini I never throw stones at single moms or people who have opted not to get married.

Napenda msichana awe focused, alinde usichana wake, na heshima yake. Asome au afanye biashara ajijenge kiakili na kifedha halafu aingie kwenye ndoa akiwa stable upstairs and pocketwise.

Money is always a woman's insurance.

Wadada jijengeni. Travel the world..... Soar as high as you can. Marriage shouldn't be the end of your dreams.
Ndoa inanafasi yake na kamwe huwezi replace na kitu chochote hio ndo asili ya mwanadamu, travel around the world, chasing your dream vinanafasi yake na haviwez kuwa mbadala wa ndoa
 
Unaposema neno (security)Au kwa kiswahili (ulinzi) unamaanisha nini haswa?, yani wewe Ukiolewa, ndoa inakulinda dhidi ya nini? Joanah
Kama hii comment aliyetoa ni mwanaume basi nikiri Wanaume tunajitambua ni wachache sana, mwanaume anatoa security kwa mwanamke na kwa watoto wake
Ndo maana mtoto mdogo ukimchokoza anakuambia naenda kumuita baba yangu
 
Back
Top Bottom