Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Mawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzazi
Uko sawa, ila as far as kuolewa imekua probability, ndiposa kujenga career yake inakua la maana zaidi ikitokea coincidence ndoa imepatikana ni vizuri ila aendelee kuweka sawa mambo yake ya kielimu na future etc.