Baba hawezi kwa karne hii ila kwa zamani kipindi hicho binti alikua anawekwa chini na kuulizwa ana tatizo gan ili asaidiwe,
Sasa hivi kwa kua tumetawaliwa na uzungu mwingi na utandawazi kwa hio mtoto anapewa uhuru wa kuamua na kuchagua nini anataka na nini hataki bila kupangiwa, Je! Akiamua kuchagua kua single mother utamzuia?
Km utamzuia basi mweke chini zungumza nae kwa upendo, 'mwanangu umri unaenda mlete mwenzako tumtambue ikiwezekana akuoe', km hilo jukumu huliwezi zungumza na mama amwelekeze kisha umsikie yeye anasemaje, au anataka mumtafutie wa kumuoa bila kumuuliza mtajua?
Fumba fumbua miaka 40 hii hapa hajaolewa mtakua na picha gan mkuu?