Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

Ndoa ni JAMBO MUHIMU SANA, TENA MNO KWA MSICHANA

1. Kwa jinsi walivyoumbwa, KILA MWANAMKE anapenda awe na ndoa. Ukimkuta mwanamke hataki kuwa na mume, LAZIMA kuna kitu cha kisaikolojia kimemwathiri. Lazima !

a) Labda msichana ameona mwanamke jirani, au wa ukoo anavyopata shida kwenye ndoa, anaona afadhali kukaa bila ndoa.

b) Hata hao wanaoenda utawa, wanakuwa wamelinganisha ndoa zenye matatizo na utawa, wakaona utawa ni bora.

2. Kila mwanamke ameumbiwa hulka ya kubembeleza mtu mwingine (awe ni mtoto wake au mumewe anayempenda), na yeye mwenyewe anatamani abembelezwe na mume anayempenda. Hio ni hulka ya KILA MWANAMKE. Kwa sababu hiyo, msichana anatamani awe na ndoa maana ndiko ataweza kumpata mtoto ambembeleze, na mume ambembeleze yeye mke.

3. Kila mwanamke anajua kwamba akiwa na mwanaume anayempenda, huyo mwanaume lazima atamnunulia zawadi. Na kama ana hela za kutosha, anaweza hata kumnunulia "gari kali"

4. Mwanamke aliye single anagharamia kila kitu kwenye maisha yake kuanzia mavazi, kodi ya pango, chakula n.k. Akimpata mwanaume, hiyo mizigo yooote anambwagia mwanaume.

Sasa, kama mwanamke anaweza kupata faida zote hizo, kwa nini asione kwamba kuolewa ni jambo muhimu kuliko yote maishani mwake?

NB:- Kwenu wanaume:- Eleweni kwamba hata machangudoa wengi sana wanatamani kuolewa. Lakini kwa kupenda njia za mkato, wanajiuza. Akishazoea kujiuza, wazo la kuolewa linayeyuka
 
[emoji23][emoji23]
JamiiForums1847993079.jpg
 
Tena ukute pale anakualika na ulikuwa ex wake au rafiki tu anakuwa na bashasha kubwa kwa kweli wanawake wanapenda kuolewa mno ...we hata uende tu ukajitambulishe kwao utaona izo mbwembwe ila mwaka mmoja wa ndoa kesi zinaanza ramsi 😂😂😂
 
Mawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzazi
Hao wa PhD wengi ni wazee tumba lishaanza kujikunja na akizaa hapo tumbo linakuwa kubwa hana mvuto Tena jumlisha mistari mistari tumboni..hata aliolewa life Spam yake ni ndogo sana katika kuvutia ndoa almost alifika 35 makunyanzi yataanza usoni.

Jamaa hapo ataanza kuruka na videmu vidogo demu bhana kachelewa sana 27 nje ya hapo asizae ovyo na ajipende ila kama kazlisha alifika 30 hana mvuto.

Mwambie binti yako kama alikuwa na mashauzi wanaume wa sasa hawana time na wanawake ,mikausho mikali ,akijichanganya tu analambwa then ndo ataisikia kweny Bomba.

Am pretty sure kwamba at least twice alishawai kukutana na watu wanataka kumuoa ila usanii na uzungu mwingi kujifanya educated while nope ..kwamba zaidi anajua kingereza ,akae atulie wanaume wapo ila hawako kama Hao anaokutana nao huko vyuoni
 
- Sielewi kwa nini wanawake wanaongelewa sana, kulingana uwiano wa Ke na Me kwenye matokeo ya sensa, kama wanawake hawaolewi inamaanisha kuna wanaume hawajaoa. Thamani ya ndoa ipo kwa wote ME na KE. Mwanaume pia kama hana mke huonekana hana thamani bila kujali elimu, pesa wala umri.
Mwanaume ni pesa man, hizo porojo za ndoa wanufaika ni wanawake zaidi na hao ndio wenye uhitaji wa ndoa zaidi kuliko wanaume.

Thamani ya mwanamke asiolewa ni tofauti na mwanaume ambae hajaoa kwa mitazamo ya jamii zetu.
Na mbaya zaidi kuna umri mwanamke akifika kuolewa huwa ni kwa mbinde tofauti na mwanaume anaeamua amuoe nani!!.

Wanawake wasome na kufikia malengo yao lakini wasisahau wanatakiwa kuolewa. Bila hivyo wataishi kwa masononeko sana, majuto na kuparamia vibenten vinavyowalaghai kila siku hawa mashangazi.
 
) Hata hao wanaoenda utawa, wanakuwa wamelinganisha ndoa zenye matatizo na utawa, wakaona utawa ni bora.
Mkuu watawa wengi huanza kusoma hizo shule zao toka wakiwa wadogo.
Hiyo ya kusema eti familia zao zinakua na mgogoro ni upotoshaji.

Ni vile mentality zao hubadilishwa kwa hayo wanayoyasoma na maisha wanayoishi huko utawani. Wanawabadili mindswt zao japo wengine hukengeukia njiani kabla au baada ya mafunzo.

Nina mifano kadhaa ya familia za maragiki zangu ambao dada/wadogo zao wameenda huko kwenye utawa. Na hao wasichana hicho kitu ni passion waliyokua nayo toka wakiwa wadogo.
 
Mwanaume ni pesa man, hizo porojo za ndoa wanufaika ni wanawake zaidi na hao ndio wenye uhitaji wa ndoa zaidi kuliko wanaume.

Thamani ya mwanamke asiolewa ni tofauti na mwanaume ambae hajaoa kwa mitazamo ya jamii zetu.
Na mbaya zaidi kuna umri mwanamke akifika kuolewa huwa ni kwa mbinde tofauti na mwanaume anaeamua amuoe nani!!.

Wanawake wasome na kufikia malengo yao lakini wasisahau wanatakiwa kuolewa. Bila hivyo wataishi kwa masononeko sana, majuto na kuparamia vibenten vinavyowalaghai kila siku hawa mashangazi.
That's the lie we always tell ourselves. Mwanaume hawezi oa mwanamke yeyote just like Mwanamke hawezi olewa na mwanaume yeyote, huo ndio ukweli.

Struggle ya kutafuta match ni sawa kwa wote ME na KE, utazurura lakini mwisho wa siku utahitaji mtu mmoja tu ambae ni sahihi ( hapa ndio uchawi ulipo). Wanawake hawaolewi sababu hawajapata mtu sahihi vivyo hivyo kwa wanaume.
 
Unaangalia upande mmoja tu wa shilingi, isitoshe Wanawake hawaolewi na mtu yoyote tu bali yule anaye qualify pia, kuna Wanaume wengi tu hawapati Mwanamke wa kuoa au mwanamke wa chaguo lao kwa maana wanawake wanaowataka wanawakataa pia, ni nature.

Hivyo hata kwa Wanaume kupata Mwanamke wa chaguo lao na akakukubali pia ni ishu!
Umeongea point kubwa sana hapa.
 
Hao wa PhD wengi ni wazee tumba lishaanza kujikunja na akizaa hapo tumbo linakuwa kubwa hana mvuto Tena jumlisha mistari mistari tumboni..hata aliolewa life Spam yake ni ndogo sana katika kuvutia ndoa almost alifika 35 makunyanzi yataanza usoni.

Jamaa hapo ataanza kuruka na videmu vidogo demu bhana kachelewa sana 27 nje ya hapo asizae ovyo na ajipende ila kama kazlisha alifika 30 hana mvuto.

Mwambie binti yako kama alikuwa na mashauzi wanaume wa sasa hawana time na wanawake ,mikausho mikali ,akijichanganya tu analambwa then ndo ataisikia kweny Bomba.

Am pretty sure kwamba at least twice alishawai kukutana na watu wanataka kumuoa ila usanii na uzungu mwingi kujifanya educated while nope ..kwamba zaidi anajua kingereza ,akae atulie wanaume wapo ila hawako kama Hao anaokutana nao huko vyuoni
Najua nini kimemfikisha hapo! Kubana mapaja! Na condition kuwa nitakupa K ndani ya ndoa. Kwa hilo namsapoti hata afike 60! Kwa minajiri hiyo hawezi kuniletea mjukuu bila baba yake. Single maza ni big No
 
Back
Top Bottom