Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mkuu acha kunichekesha, akifika 35yrs bila kua na watoto mji wa Mimba unaanza kujifunga vipi huna mpango wa kua na wajukuu?
Mtoto wa binti yako siyo mjukuu halisi maana sperms hazikutoka katika ukoo wako! Usisahau siku hizi kuna IVF hata mama wa 90 yrs anaweza kubeba mimba
 
Nadhani sasa mmewatukana wanawake vya kutosha. Tuwageukie na wanaume pia. Hivi mwanaume unaenda kumtongoza mtoto wa form 2 ukijua kabisa hutomuoa, unamuahidi chips kuku mara kwa mara na ahadi za kumuoa, knowing very well huna mpango nae, hivi huyu atataka kusoma tena kweli?

Si atakaa anawaza akiolewa ni chips na kuku kwenda mbele. Wanaume pia mngekua mna treat wanawake kama ambavyo mnataka watoto wenu wa kike wawe treated au ambavyo mngependa dada zenu wawe treated.
 
Mawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzazi
Hio status mama yake alikuwa nayo wakati unamuoa? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzazi
Kama mzazi upo sahihi lakini anayopitia binti yako mwenye 31 sio poa

Kwa jamii yetu kinachofanya wengi tuone ndoa ni muhimu ni jamii inayotuzunguka,kwa umri wa 31 am sure rafiki zake wengi wapo kwenye ndoa na anapata maswali mengi ya lini anaolewa
 
Kuolewa ni sheria lkn nowdays tunapenda harusi bhna sijui sendoff shower nn sijui kitchen party wedding dinner๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚baada ya mwaka tu ndoa km ilifungwa miak 50 iliyopita ๐Ÿ˜‚
 
Binti kufaulu mtihani wa kuliwa kimasihara sio jambo dogo Mkuu, wala hawajakosea ni ma degree holder hao
 
Mawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzazi
Mzee usijisahaulishe, ndoa haihitaji status
 
Nadhani sasa mmewatukana wanawake vya kutosha. Tuwageukie na wanaume pia. Hivi mwanaume unaenda kumtongoza mtoto wa form 2 ukijua kabisa hutomuoa, unamuahidi chips kuku mara kwa mara na ahadi za kumuoa, knowing very well huna mpango nae, hivi huyu atataka kusoma tena kweli?

Si atakaa anawaza akiolewa ni chips na kuku kwenda mbele. Wanaume pia mngekua mna treat wanawake kama ambavyo mnataka watoto wenu wa kike wawe treated au ambavyo mngependa dada zenu wawe treated.
Kwani kuna baba mwenye mtoto wa kike ambaye hataki mtoto wake anunuliwe chips na akagegedwe? Huyo atakuwa baba wa ajabu sana. Hao ndio wanaishia kuwagegeda watoto zao.
 
Mwanaume ni pesa man, hizo porojo za ndoa wanufaika ni wanawake zaidi na hao ndio wenye uhitaji wa ndoa zaidi kuliko wanaume.

Thamani ya mwanamke asiolewa ni tofauti na mwanaume ambae hajaoa kwa mitazamo ya jamii zetu.
Na mbaya zaidi kuna umri mwanamke akifika kuolewa huwa ni kwa mbinde tofauti na mwanaume anaeamua amuoe nani!!.

Wanawake wasome na kufikia malengo yao lakini wasisahau wanatakiwa kuolewa. Bila hivyo wataishi kwa masononeko sana, majuto na kuparamia vibenten vinavyowalaghai kila siku hawa mashangazi.
Kumbeee
 
Back
Top Bottom