Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

Ningekua ni moderator ningehakikisha kila mwanamke anayesoma huu uzi aisome kwanza hii comment yako.
Simply, SUPERB!!!🤝🤝🤝🤝
 
Mkuu huyu MWANAMKE unayeongelea hapa ni mke au MPENZI/MCHEPUKO? Kuna wanawake hata uwape utajiri wote wa dunia hii bado hawatakuelewa.......hata umfanyie au umpe nini haridhiki na haelewi chochote. Kwa mchepuko au mpenzi nakubali lakini sio WIFE! Na sababu kubwa ya wapenzi/michepuko kuwa na adabu ni kukosa assurance kwa wapenzi/michepuko yao. So, ili amteke kiakili, anapaswa kuwa mpole na mnyenyekevu. Sasa muoe uone moto wake unavyowaka.....utajuuuuuuta kumfahamu?
 
Ndoa inanafasi yake na kamwe huwezi replace na kitu chochote hio ndo asili ya mwanadamu, travel around the world, chasing your dream vinanafasi yake na haviwez kuwa mbadala wa ndoa
wala sio mbadala get it right.
 
Usiilaumu elimu, jilaumu wewe mafanikio yote unayoyaona duniani ni matunda ya elimu na sio kitu kingine

Tuwafundishe watoto wetu wawe ni watu wa kujiongeza na kuchangamkia fulsa na sio wachukie elimu
Kweli kabisa mkuu. Elimu ni kitu muhimu sana lakini inashangaza jinsi wasichana wa kitanzania wanavyothamini ndoa kuliko elimu. Inasikitisha sana.
 
Unakubaliaje akufanye ujute? Kumuacha?

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
My sister Ana masters ila hajaolewa hadi Leo na yupo na 42! Sijui ndio wanaume wanaogopa wasomi?! ..Just thinking
Hamna mwanaume anaye ogopa msomi na ukitizama hata sasa dada yako anatongozwa na watu wanapita nae,tatizo linakuja pale mtu kubeba msalaba wa ndoa.

Mara nyingi wengi wao wana attitude ya kutaka kuwaendesha wanaume na ndio maana wengi hawa olewi ila rungu la kipepe wanalichezea kama kawa kutoka kwa majamaa yanayopenda vitonga.
 
Wengi wao wanajiona ni wanaharakati zaidi ya wanawake. Labda umkute atakayekubali kukufuga (kukuoa) kazi yako iwe kuzalisha huku ukilishwa bure. Huu ndio mtindo unaotumiwa na wanawake wengi wasome kupata watoto huku wakibaki kuwa single mothers forever!
 
Aisee Yaani ni majanga.
 
UNAJUA NDOA SIO HESHIMA TU, NI HITAJI LA KIAKILI, KIIMANI NA KIMWILI/KIBAIOLOJIA.

DAWA YA NYEGE NI KUTIWA TU,NDIO KUTIWA. Shida inakuja, unatiwa nani? Au ndio mwendo wa kama bodaboda yoyote anapanda!

UKIWA NA MTU WAKO, BASI MAMBO NIPOA.
 
UNAJUA NDOA SIO HESHIMA TU, NI HITAJI LA KIAKILI, KIIMANI NA KIMWILI/KIBAIOLOJIA.

DAWA YA NYEGE NI KUTIWA TU,NDIO KUTIWA. Shida inakuja, unatiwa nani? Au ndio mwendo wa kama bodaboda yoyote anapanda!

UKIWA NA MTU WAKO, BASI MAMBO NIPOA.
Pamoja na kwamba ndoa ni muhimu huwezi kuipa kipaumbele zaidi ya elimu.....kwamba msichana akatishe elimu kwa ajili ya kuoelewa kwa sababu ndoa ni muhimu. Huu ni ujuha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…