Msichana wa zamani anahitaji nimchangie anunue iPhone 6

Unalo pesa imeanza kukuumiza, mengine bora kutotenda kwa wewe umejikuta umekuwa mwizi sasa.
 
Guasa#mchango laki moja anataka iPhone six
 

Nashangaa haya hiyo feki ya mchina basi iphone 6 ni zaidi ya laki moja, au majisifu ya bure?
 
Niliona huyu binti ni fisadi anisaliti kwa mbwembwe na hakurizika bado anakuja tena kutaka kunifisadi nikasema imetosha nimemuwahi nimekula pensheni yangu zangu kala nyingi tu
 
Hahaaa nimecheka sana. Una akili sana wewe, angalau katika usaliti alokufanyia umefidishia ka laki moja.
Na akome kabsaa
 
Umli wangu ni miaka 27 wakuu naomba maoni yenu niamue
u bado mdogo sana katika Mapenzi
hapo bado Ndoa
hebu weka namba zakle sisi tumchangie nayeye apate smartphome
Madhara yake ni hapo tutalapomfyndisha ile namba aliyokutukia pesa kwa M Pesa atupe halaguuone hapa mtu haibiwi
 
Asanteni sana #habari ya hapa na yellow masai kwa ushauri mzuri.
 
Watu kupenda Maisha ya juu bhna......ana Laki moja halafu anataka iphone 6! Angeomba tu umnunulie iphone 6 sio umchangie......iphone 6 milioni moja na laki 8 kama sikosei so unamchangia 1.7.......Duuuuuu afu upo unasoma!

Hapo mmeachana sipatii picha kipindi upo nae mizinga alio kuwa anakupigaa
 
Mwanangu alikuwa na mizinga ya kufa mtu mpaka nilikonda # danya
 
Kuna dada niliona katupia uzi humu kwamba kuna mtu alimtapeli pesa, na huyo mtu ni member humu jamvini aiseeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…