Vyombo vya habari vya Kenya ndio mitindo yao wakikosa cha kuandika. Wanatafuta hata ambacho sio cha kuandikwa na kukikuza mpaka basi e.g. Githeri man. Kilicho mfanya huyo binti kufaulu mtihani ni akili yake na sio matatizo anayo yapitia kijamii. Ngozi yake haikutakiwa kuwa issue lakini vyombo ya habari wako busy kufukia ya uchaguzi kwa habari kama hiyo. Huyo binti amejitahidi kufaulu mtiani kwa nguvu yake mwenyewe na sio NGOZI yake. Hata cheti chake cha kuzaliwa hakiandikiwi kama albino bali mtoto wa kike.
Hilo jina zeruzeru lina tatizo kubwa na ndio maana nikakuambia hauta kuja kuona mwandishi yoyote anayejuwa kiswahili au hata chombo kama mahakama ikilitumia jina hilo. Its not an official name, and it degrading a person with albinism.
Taja hilo tatizo.Hilo jina zeruzeru lina tatizo kubwa na ndio maana nikakuambia hauta kuja kuona mwandishi yoyote anayejuwa kiswahili au hata chombo kama mahakama ikilitumia jina hilo. Its not an official name, and it degrading a person with albinism.
Wakubwa wenyewe mnazuiwa kuongea mnategemea watoto wenu watajulia wapi ku reason?Sisi bongo tabu kweli badala ya kuongelea uwezo wake wa kujieleza katika interview na kujifananisha je watoto wetu same age Tz wanaweza au education system yetu inawajenga watoto? Unaweza kuona she is bright na kikubwa wazazi maana hana simu mpaka sasa. Njoo huku kwetu hata vichanga vinafunguliwa account. Hii ndio tofauti yetu na wakenya.
Albino wa Tanzania hawezi kuongoza darasani kwasababu anaishi kwa mashaka anawindwa kama kware
Msichana huyu alizawadiwa KES 100,000/TSH 2,000,000 Na Albinism Society of Kenya. Walimuahidi kuwa watalipa karo ya shule hadi atakapofika kidato cha nne. Ako sawa kujieleza kweli