Msichana Zeruzeru Aliyeongoza Katika Mtihani Wa Darasa La Nane najua Kujieleza Kweli

Msichana Zeruzeru Aliyeongoza Katika Mtihani Wa Darasa La Nane najua Kujieleza Kweli

Kile ninachoona hapa ni tofauti ya tamaduni kati ya Kenya na Tanzania. Ni kama vile kule TZ huwezi kubaliwa kutumia neno dinda kwani maana yake ni erection. Ilhali huku kwetu, dinda ni kukataa. Wauguzi wamedinda kurudi kazini. Tusiwe na tabia ya kuiga mambo ya kizungu eti sababu wazungu hawafanyi hivi au vile. Unyanyapaa unatoka moyoni mwako na matendo unayoyafanya
 
Vyombo vya habari vya Kenya ndio mitindo yao wakikosa cha kuandika. Wanatafuta hata ambacho sio cha kuandikwa na kukikuza mpaka basi e.g. Githeri man. Kilicho mfanya huyo binti kufaulu mtihani ni akili yake na sio matatizo anayo yapitia kijamii. Ngozi yake haikutakiwa kuwa issue lakini vyombo ya habari wako busy kufukia ya uchaguzi kwa habari kama hiyo. Huyo binti amejitahidi kufaulu mtiani kwa nguvu yake mwenyewe na sio NGOZI yake. Hata cheti chake cha kuzaliwa hakiandikiwi kama albino bali mtoto wa kike.

Hakuna yeyote aliyesema kuwa alipita mtihani kwa sababu ya ngozi lake, bali alipita mtihani LICHA ya ngozi lake. Wanafunzi kama hawa huwa na chngamoto nyingi sana ikiwemo kutoona vizuri, na mengineo. Kwa hivyo ushindi wake unadhihirisha kuwa DISABILITY IS NOT INABILITY.
 
Hilo jina zeruzeru lina tatizo kubwa na ndio maana nikakuambia hauta kuja kuona mwandishi yoyote anayejuwa kiswahili au hata chombo kama mahakama ikilitumia jina hilo. Its not an official name, and it degrading a person with albinism.
e3c7b19c0a97f8cb81d5bfafa8408652.jpg
 
Sisi bongo tabu kweli badala ya kuongelea uwezo wake wa kujieleza katika interview na kujifananisha je watoto wetu same age Tz wanaweza au education system yetu inawajenga watoto? Unaweza kuona she is bright na kikubwa wazazi maana hana simu mpaka sasa. Njoo huku kwetu hata vichanga vinafunguliwa account. Hii ndio tofauti yetu na wakenya.
 
Hilo jina zeruzeru lina tatizo kubwa na ndio maana nikakuambia hauta kuja kuona mwandishi yoyote anayejuwa kiswahili au hata chombo kama mahakama ikilitumia jina hilo. Its not an official name, and it degrading a person with albinism.
Taja hilo tatizo.
 
Sisi bongo tabu kweli badala ya kuongelea uwezo wake wa kujieleza katika interview na kujifananisha je watoto wetu same age Tz wanaweza au education system yetu inawajenga watoto? Unaweza kuona she is bright na kikubwa wazazi maana hana simu mpaka sasa. Njoo huku kwetu hata vichanga vinafunguliwa account. Hii ndio tofauti yetu na wakenya.
Wakubwa wenyewe mnazuiwa kuongea mnategemea watoto wenu watajulia wapi ku reason?

Binti amewawakilisha vizuri jamii ya zeruzeru.
 
Msichana huyu alizawadiwa KES 100,000/TSH 2,000,000 Na Albinism Society of Kenya. Walimuahidi kuwa watalipa karo ya shule hadi atakapofika kidato cha nne. Ako sawa kujieleza kweli

Neno zeruzeru ni tusi neno linalotumiwa na ma racists and fascists. Kama unaongelea huyo msichana mzuri hapo juu huyo ni albino, ama mlemavu wa ngozi.
 
Back
Top Bottom