kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,477
- 5,096
Ninatamani siku moja tupate mabadiliko lakini hilo haliwezekani kwa miaka ya hivi karibuni.
Hizi ndizo sababu na ukweli unaotakiwa kuufahamu
Ukweli no 1.
CCM huwa wanashinda kwa uhalali kiti cha Raisi, kura nyingi wanazipata kwa jamii ziishizo vijijini
Sababu
Katika utafutaji wangu nimebahatika kutembelea maeneo mengi hapa Tanzania hasahasa vijijini.
Nilichojifunza ni kuwa jamii nyingi za watu wanaopatikana vijijini hazina uelewa wowote kuhusu nchi na uendeshaji wake, kuhusu deni la taifa, kodi, pato la taifa, wajibu wa serikali n. K
Hii hupelekea uchaguzi kufanyika kwa mazoea katika jamii hizo na mara nyingi huishia kuichagua CCM.
Ukweli no 2
Zawadi na miradi inayotolewa na serikali ya CCM siku chache kuelekea uchaguzi huwa na impact kubwa mno.
Sababu
Kuna watu hubeza baadhi ya matendo ya CCM kuelekea uchaguzi bila kujua umuhimu wa hayo matendo kwa jamii
Matendo kama, kuwabeba watu kwenye magari kutoka vijijini ili wakahudhirie vikao na mikutano mijini huchukuliwa kawaida lakini kwa jamii za watu wa vijijini hii kwao huwa ni kama hisani na mwisho huishia kulipa fadhila kwa kuichagua CCM. ( hii ni kulingana na saikolojia ya watu wa vijijini)
Msidharau matendo kama
Ugawaji wa chumvi, vitenge, mashimo ya vyoo, tisheti n. K
Ukweli no 3