Msidanganyike na magari yao ya kifahari! Ata Matajiri na Mastar wana “Daily Drivers”!

Dah usinikumbushe dada inauma sana ,niliumia mno kuona vijana wadogo wanojipambania wakiwa hawawezi hata kuongea Wala kusimama tena wamelala usingizi mzito .
Ila bad enough na mkwe wangu amefariki pia ,mama wa mke wangu wa zamani ni huzuni dada
😭😭😭 Una mke hadi wa zamani? Pole sana mkuu
 
😭😭😭 Una mke hadi wa zamani? Pole sana mkuu
Dada kwani sijawahi kukusimulia kuwa niliowa lidada limoja la hapo mbalizi ,likaja kunibwaga na watoto likawataifisha ,hivyo namuita mke wa zamani wazungu wanaita Ex _wife .

Ahsante kwa hayo aisee ,nitafutie mnyakyusa ,wanyiha siwataki tena Wana roho za mauaji kabisa
 
🤣🤣🤣Sasa mnyakyusa hawezi kubali kuishi umalila aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…