Msidanganyike na magari yao ya kifahari! Ata Matajiri na Mastar wana “Daily Drivers”!

Nilivyokuwa mdogo, kama miaka 13-14, nilikuwa napenda kusoma vitabu vya baba yangu.

Alikuwa anapenda sana kusoma American business and advice books. Lee Iacocca, Harvey Mackay, Jack Welch, Norman Vincent Peale etc.

Nakumbuka kitabu kimoja cha Harvey Mackay kinaitwa "Swimming With The Sharks Without Being Eaten Alive" alitoa ushauri mmoja wa kunujua magari ya bei rahisi na nyumba za bei kubwa.

Alielezea kuwa magari ni liability, ukilinunua tu lina depreciate, lina ku cost.

Nyumba ni kitu kinacho appreciate.

Nikaushika ushauri huo mpaka leo, nanunua magari ya bei rahisi tu nimetoka kwenye BMW X3, nimeenda kwenye BMW X5.

Sitaki magari ya gharama kubwa kwa kufuata ushauri wa Harvey Mackay ninaoukumbuka tangu siku hizo.
 
Watu watajua utani ila ulichosema ni kweli kabisa.

Kuna mmoja alisema yeye ana gari 3, ana Ford F series ya mizunguko kila siku kazini, ana Golf ya track day hii inashinda garage (wanasema for fun) na ana Prius hii wanasaidiana na Ford, anaiacha siku mke akiwa ana misele akiwa hana anaenda nayo kazini.

Wakienda trip wanakodisha campers.
 
Upo sahihi, huu ndio ushauri wa kuufata aisee. Gari leo unanunua Mil 50 baada ya mwaka mteja wa Mil 35 umpati.
 
"Daily Drivers" ndio nini? Kiswahili chake ni nini mkuu?
 
Mtazamo wangu naona ukiwa na magari mawili yaani moja la misele yako ya kilasiku na nyingine Kwaajili ya safari ndefu..hapa utafutahia Sana maisha
RRONDO haelewi hapa. Kuna gari baadhi ya njia huwezi lipeleka. Yeye anaamini unaweza ukawa na gari tatu, eVoque, X5 na Wagon. Hapo inabidi uchomeke Mjapan mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…