Msidanganyike watanzania , pesa ya madini ni pesa ngumu na kuipata kwake ni mtihani

Dhahabu hakukusudiwa itumike kama mapambo ya mwilini.

1 Pet 3:3-6
Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu

na wakati mwingine waliambiwa WAVUE VUOMBO VYA UZURI mapambo ikiwemo dhahabu.

Eze 16:17 S
Pia ulivitwaa vyombo vyako vya uzuri, vya dhahabu yangu na vya fedha yangu, nilivyokupa, ukajifanyia sanamu za wanaume, ukafanya mambo ya kikahaba pamoja nazo

kutoka 33
Ninyi ni watu wenye shingo ngumu; kama mimi nikiingia kati yenu dakika moja, nitawaangamiza; basi sasa vueni vyombo vyenu vya uzuri ili nipate kujua nitakalowatenda. Basi wana wa Israeli wakavua vyombo vyao vyote vya uzuri, tangu mlima wa Horebu na mbele.
 
Kama unataka kufanya, usiogope.
Kama unaogopa, usifanye.

Usitafute sababu wala visingizio vya kutokufanya ikiwa unaogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…