hakuna kitu km hicho, hao maDr wanavuna kwa nguvutu, hiyo kordani ingeshuka tu kwani nyonga haijaziba,
Mimi niliwakatia BIMA hiyo wanangu wawili na mke wangu, mwaka ulikatika na hawakumaliza hata hiyo 50,400 kwa mmoja
Yaani mmoja alikutwa na minyoo ya Tapeworm inatoka kabisa sehemu ya choo, wale maDr wa BIMA wakipima hawaoni, ingawa specimen tunawaletea, wananiandikia dawa ya kutafuna.
Nilipohamia viDispensary vya mtaani walimtibu na akapona, naona ni ujana wa wale maDr wa BIMA ni bijana na viComputer vyao
Tusidharau Madr wengine maana huku kijijini Jando wanaenda porini bila ganzi na wanadunda