Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Pamoja na hayo michango ya wanachama haiwiani na huduma wanazotoainategemea ulikata bima gani mkuu,si kila bima ina tibu magonjwa yote na kupata dawa zote
BIMA zipo kwa makundi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na hayo michango ya wanachama haiwiani na huduma wanazotoainategemea ulikata bima gani mkuu,si kila bima ina tibu magonjwa yote na kupata dawa zote
BIMA zipo kwa makundi mkuu
Kwani bima ya afya imeanza awamu hii?Tunaishukuru serikali ya awamu ya tano
Hiyo Bima umekata mwenyewe au umelipiwa na kampuni alafu unakuja kutueleza huku, ukiachana na wafanyakazi wa serikali wenye NHIF ni wa TZ wangapi wanaomudu bima ya afya kwenye kampuni kama Jubelee, AAR, Resolution, Strategies nk? mtu kodi ya nyumba ya elfu 50 ni mtihani atapata milioni ya kudepost kama insurarence? USA tu kwenyewe serikali inawalipia watu wake bima ije iwe hapa kwetu ambapo tuna uchumi wa flyover na SGR?????????????Sijui niseme nini kwa wale wazazi mlio na watoto wa chini ya 18yrs na hamjawakatia BIMA bei ya bima ya mtoto ni 54,000 tu kwa mwaka mzima,mtoto anatibiwa kwa BIMA ugonjwa wowote utakaokatiza mbele yake.
Kwann nasema hivi, nina mwanangu wa kiume umri wake wa kwenda mfanyia circumsission/kumtahiri (3yrs) ukawadia nikajisemea ngoja nimpeleke mwanangu akafanyiwe kitu nijue akishapona basi nimuanzishe shule akacheze cheze huko.
Basi nikafika hospital daktari akahtaji muona mtoto na kuona uume wa mtoto,akamshika kisha akawa ana mminya minya kwenye korodani,Nikashangaa sana daktari ananiambia "mbona mtoto ana korodani 1?"
nikatoa macho! akasema hatuwezi mtahiri mtoto akiwa na korodani 1 n lazima tuishushe maaana itakua imebaki tumboni haijashuka, na ikishndkana basi tuitoe kabisa maana kuicha ndani n hatari sana kwa mtoto kwa huko mbeleni.
Basi tukaambiwa tulazwe,nikalazwa na mwanangu Mtoto akaja akafanyiwa operation korodani ikashushwa kisha akatahriwa...
Baada kama ya wiki nzima kuspend hospital,ukafka muda turuhusiwe sasa tukajiuguze nyumbani tuwe tunarudi clinic tu kwa ajili ya kuangaliwa maendeleo ya vidonda vya mtoto.
Nikapewa discharge form na maform mengine mengine,kwakua kote huko BIMA ilikua inafanya yake,mimi nilikua na deal na malipo ya MSOSI TU.
My dear form ya gharama ikaonyesha total charges zote ni 3,210,000 Tsh yaani Milioni 3 na laki mbili na ishirini na moja.
Hebu JAmani fikirieni kipindi hiki umpeleke mtoto hospital halafu uambiwe ili tatzo lake liondoke inahtajika mil.3 na upuuzi wake kama sio kutaftiana kuhara ni nini?
Jamani nimetokea kuheshimu BIMA aseee nawasisitiza BIMA jamani,unaweza kwenda hospital ukfkiri unaumwa JINO daktari anakucheki anakwambia MDOMO mzima meno ni ya kureplace hahaha inahtajika 7Mil otherwise mapengo yanakuja very soooon.
Kuna.magonjwa mengi sana wapendwa tusiyoyajua hii dunia,kama hii ya korodani kubaki tumboni ndio kwanzaaaaaaa limekua brand new maskioni mwangu.
Anyway Narudia tena kuwasisitiza BIMA jamani kwa mnaoweza msipuzeeee msipuuzeee.
Asikiae na Asikie.
Nielekeze vyema mkuu wangukuna bima ya afya iliyoboreshwa kifupi CHF. hii ni 30,000/= kwa mwaka kwa watu 6. Unatibiwa zahanati na hospitali ya wilaya. Tushindwe kukata hata hii??
Tena ina umuhimu zaidi ya sana😁Gari muhimu sana hasa IST[emoji41]
Bima wanashindwa kulipia ampicloxy tu wanasema haipo kwenye mpango wa bima hiyo ya kushusha korodani wataiweza?
Bima ni wezi tu binafsi sijaona umuhimu waoSijajua ni BIMA gani ila bima nyingi hata dawa za elfu 50 tu wanashindwa kutoa!! BIma nyingine wanakwambia usiende Aghakhani nenda Dispensary ,sasa maaana ya BIMA ni nini? Navyojua Kama BIMA ya Gari ukila mzinga mkubwa wanareplace gari,sasa BIMA hizi uchwara uchwara masharti kibao,mara subiri kwanza tupie simu ,mara jino halipo kwenye BIMA,mara umesahamaliza pesa yako ya BIMA yaani haileweki.
Sidhani Bima ya elfu 54 hizi zetu za kiswahili upate huduma za kutosha.
Bima ni wezi tu binafsi sijaona umuhimu wao
Mkuu nilisikia bima ya NHIF walisitisha kupokea wateja wapya kwa muda,hii habari ya ukweli au stori tu za mitaani?inategemea ulikata bima gani mkuu,si kila bima ina tibu magonjwa yote na kupata dawa zote
BIMA zipo kwa makundi mkuu
Kwa hio Bakhresa,MOE wana bima za afya? Sijakwambia Bima ndio sio muhimu, ila bima ni mpango maalumu kwa masikini wasio na kipato cha uhakika.Pesa ni Muhimu lakini BIMA ni muhimu zaidi
sawaKwa hio Bakhresa,MOE wana bima za afya? Sijakwambia Bima ndio sio muhimu, ila bima ni mpango maalumu kwa masikini wasio na kipato cha uhakika.
Tafuta pesa, kuna watu wengi hawana bima ila wanamiliki pesa kwa hio afya ikiwasimbua kidogo tu india au ulaya kwenda checkup.Tuhamasishane kutafuta pesa,pesa ndio kila kitu bima sio kila kitu.Bima haiwezi kukupeleka India kutibiwa.
sawaHiyo Bima umekata mwenyewe au umelipiwa na kampuni alafu unakuja kutueleza huku, ukiachana na wafanyakazi wa serikali wenye NHIF ni wa TZ wangapi wanaomudu bima ya afya kwenye kampuni kama Jubelee, AAR, Resolution, Strategies nk? mtu kodi ya nyumba ya elfu 50 ni mtihani atapata milioni ya kudepost kama insurarence? USA tu kwenyewe serikali inawalipia watu wake bima ije iwe hapa kwetu ambapo tuna uchumi wa flyover na SGR?????????????
Shukuru Mungu kama unabahati ya kulipiwa hiyo bima na kampuni, make NHIF yenyewe ni shida tu, kila ukienda kwenye matibabu utaambiwa hayo hayako covered kwenye bima, hizo dawa haziko covered kwenye bima. Maisha yetu watanzania tunayajua wenyewe.
Asante sana kwa hii mkuuVIFURUSHI VYA BIMA YA AFYAView attachment 1697526View attachment 1697527
ishafutwa hiyoHapana Tatizo Sio Gharama Ila Ubishi
Huku Kwetu Tuna Bima Ya Wakulima Wa Korosho Ni 76800 Haijalishi Umri Wako, Ni NHIF Pure.
Bado Watu Hawatak Kukata.
Kusini Ni Kugumu Tu.
Aliye chini ya 35Vipo vya aina 3
1.192,000
2.384,000
3.587,000
Hizo ndio gharama za bima za MTU mzima mkuu NHIF
hospitali zote kubwa hupokea Jubilee. NHIF inakataliwa Agakhan kubwa zoteJubileee unatibiwa baadhi ya hospital tu sio hospital zote wanapokea wanachama wa jubilee.
Kama mtu uko serious na afya yako na hutaki mbwembwe nyingi,NHIF yako inakutosha kabisa kabisa.
Ahsante mkuuLabda! kwa kipindi hicho ulichosikia, ila kwa sasa mkuu wanapokea.