Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mimi.nilishangaa zaidi yako,korodani zinaweza kugoma hata kushuka zote Japo hii case sio sana ila kwa korodani 1 inauwezo kbsa kubaki ndani.Tunaogopeshana sasa, hiyo ya korodani kubaki tumboni sijawahi sikia, ngoja nifike home nimkague mwanangu.
Haitushindi mkuuu,BIMA sasa ni jambo langu namba 1 maishani mwangu..Umaskini wangu usiwe sababu ya kuteseka kwa matatzo ninayoweza yaepuka.kuna bima ya afya iliyoboreshwa kifupi CHF. hii ni 30,000/= kwa mwaka kwa watu 6. Unatibiwa zahanati na hospitali ya wilaya. Tushindwe kukata hata hii??
Hii sio bima ya afyakuna bima ya afya iliyoboreshwa kifupi CHF. hii ni 30,000/= kwa mwaka kwa watu 6. Unatibiwa zahanati na hospitali ya wilaya. Tushindwe kukata hata hii??
Na mm namsahihisha tena. 3210000 ambao umesemani millioni tatu laki mbili na ishirini na moja elfu tu wakati hiko kiwango ni millioni tatu laki mbili na kumi elfu tuu.Mada nzuri, ila namsahihisha mleta mada. Gharama ya toto Afya ni Tsh 50,400/= kwa mwaka
Hapana Tatizo Sio Gharama Ila Ubishisidhani kama n ubishi daktari,shida ni gharama zake sio rafiki pia nadhani
Sawa Hazole kwilongolelakuna bima ya afya iliyoboreshwa kifupi CHF. hii ni 30,000/= kwa mwaka kwa watu 6. Unatibiwa zahanati na hospitali ya wilaya. Tushindwe kukata hata hii??
pia level ya kituo cha huduma,mfano hiyo ampiclox bima (NHIF) hailipi kwa zahanati hata kama aliyeprescribe ni specialistinategemea ulikata bima gani mkuu,si kila bima ina tibu magonjwa yote na kupata dawa zote
BIMA zipo kwa makundi mkuu
mkuu mimi.nilishangaa zaidi yako,korodani zinaweza kugoma hata kushuka zote Japo hii case sio sana ila kwa korodani 1 inauwezo kbsa kubaki ndani.
Na watu wazima wengi wapo wenye tatzo la korodani kubaki tumbon ila kwakua wanajiona wazima wapo wanatembea wana dunda,mziki utakuja huko mbeleni SARATANI itakapokuja.
Maana daktari anasema ina uwezo wa sababsha saratani mbeleni ambapo tiba yake ni kizitoa zote mbili,hii maana yake nini ukshatolewa zote mbili...JIBU TUNALO.
CHF tatizo lake ni Bima ya eneo moja tu.kuna bima ya afya iliyoboreshwa kifupi CHF. hii ni 30,000/= kwa mwaka kwa watu 6. Unatibiwa zahanati na hospitali ya wilaya. Tushindwe kukata hata hii??
Hivi docta kuna gharama za kulipia mama mjamzito kwenye operation? Yani akijifungua kwa operation.Kila Mgonjwa Anayefika Chumba Changu Cha Daktari Huwa Namshauri Hili, Wengi Wanaelewa Ila Wengine Ni Wabishi Sana. Asante Mkuu
Unalipa kila mwaka au kila siku?Mkatie mkuu hata asipoumwa usije kata tamaa,wewe lipia tu Hupungukiwi na kitu.
siku 1 utaona faida ya hiyo bima,,Afya zetu ni gharama sana mkuu ni gharama mnooo.