Msidharau BIMA za watoto wapendwa, ni muhimu sana kwa watoto zetu

Msidharau BIMA za watoto wapendwa, ni muhimu sana kwa watoto zetu

Dah nashukuru Mwanangu anazo zote mbili. [emoji120] kafikisha miaka 2.5 naruhusiwa kumtahiri au mpaka afikishe miaka 3?
mtahiri mtoto mapema mkuu,sio lazima afike mi 3 kama wangu..

huyu wangu mwenyewe n mambo yaliingiliana tu ila nilitaka mtahiri tangu akiwa na 2yrs..
 
mtahiri mtoto mapema mkuu,sio lazima afike mi 3 kama wangu..

huyu wangu mwenyewe n mambo yaliingiliana tu ila nilitaka mtahiri tangu akiwa na 2yrs..
Mnatahiri watoto bado wadogo wakiwa vibamia je?
 
Hiyo bima kama mtu ana umri wa miaka 18 na kuendelea gharama ya kujiunga ni kiasi gani?
 
Hapana Tatizo Sio Gharama Ila Ubishi

Huku Kwetu Tuna Bima Ya Wakulima Wa Korosho Ni 76800 Haijalishi Umri Wako, Ni NHIF Pure.

Bado Watu Hawatak Kukata.

Kusini Ni Kugumu Tu.
Ni hawajui tu madhara yake ila usiache waambia ili siku yakiwakuta wakukumbuke.
 
Mnatahiri watoto bado wadogo wakiwa vibamia je?
kwani limashine likubwa lanini wewe? vibamia navyo vina umuhimu ktk ustawi wa afya zetu.

Kutahiri mtoto mapema hakuhusiani na uume kuwa mfupi(kibamia)
 
Hiyo bima kama mtu ana umri wa miaka 18 na kuendelea gharama ya kujiunga ni kiasi gani?
Gharama ni tofaut jaribu ingia website ya BIMA unayoitaka maana taasisi zinazotoa BIMA zipo nyingi.
 
CHF tatizo lake ni Bima ya eneo moja tu.
BIMA TANZANIA hiii ni NHIF tu,ndio ya uhakika Hizi zingine unaweza ukawa nayo halafu hospitali iliyokaribu yako HAWAIPOKEI.

NHIF inaingia hospital zote nchii hiii ndio mana kwangu n BIMA bora kbsa.
 
Sio kweli kuwa kila ugonjwa hutibiwa bure kwa BIMA yako.
Mimi mwanangu anaumwa pumu kila ikimpanda nikienda hospital kuna baadhi ya huduma naambiwa hazipo kwenye BIMA hivyo inanilazimu kutoa pesa mfukoni.
unaambiwa hivyo kwasababu BIMA yako ndio ilipoishia,BIMA zina madaraja mkuu Tunapoongelea BIMA ni sawa na ma bus kuna

1.Daraja la kawaida
2.Daraja la kati
3.Daraja la juu (luxury)

Bima yako nadhani ni ya kawaida mkuu,ndio mana tunasema BIMA ni gharama mkuu sio rahisi rahisi BIMA inayokidhi mahitaji yote lazima ufungue wallet.
 
Mada nzuri, ila namsahihisha mleta mada. Gharama ya toto Afya ni Tsh 50,400/= kwa mwaka
Na gharama za mtu mzima ni kiasi gani mkuu?yaani kwa mtu mwenye shughuli zake na sio mwajiriwa(kukatwa kwny mshahara).
 
Back
Top Bottom